ketone
JF-Expert Member
- Jan 22, 2016
- 509
- 655
Mara ya mwisho kubiga ukunga kwa furaha wakati naangalia mpira basi ilikuwa ni world cup 2006 wakati zinedine akifanya mambo yake uwanjani...kwa miaka ya nyuma nilipatwa na furaha..sitosahau nilipomwona ZINEDINE ZIDANE akimgeuza DAVID BECKHAM kwa chenga uwanjani kama mdoli..nilipiga yowe..
Sitosahau pale ROBERTO CARLOS alimpokatwa ba DAVID BECKHAM uwanjani yeye akalipiza kwa kumpiga kanzu mbili wanjani mwaka 2002 kwenye klabu bingwa..
Sitomsahau RONALDO DELIMA alivomteza OLIVER KHAN world cup fainal 2002..two goal..
Sitomsahau luis figo harakati zake za panda shuka akiwa barcelona..
Sitomsahau carlos beki tatu iliyokuwa inapanda kuliko ata kiungo mshambuliaji..
Ronaldinho gaucho...hatosahaulika kwa goli la umbali world cup alipomfumua DAVID SEAMAN..kipa wa uingereza...
SITOMSAHAU ANDIES INIESTA katika ubora wake gusagusa zake..hasa pale alipoiua uholanzi 2010 world cup.
Mwisho ni GABRIEL BATISTUTA ..ni mtu ambae alikuwa na nguvu ka tembo.alikuwa anatisha..akiwa na fiorentina ya italy..nilikuwa nafurahia soka sana...
LEO HII TUNAAMINISHWA HAWA WAJAMAA WAWILI WAREMBO MESSI NA RONALDO KUWA NI BORA KWANGU MIMI NINAONA BADO..WANAJITAHIDI KWA UPANDE WAO ILA HAWAEZI PITA NYAYO ZA HAO WAJAMAA HAO HAPO JUU KAMA RONALDIHNO...ZIDANE NA RONALDO DELIMA NA BATISTUTA..NEVER..
View attachment 403055