Nahisi hapo Mwamba amefunika kombe kiaina kwani mlengwa mahsusi (specific target)anayetakiwa kulemazwa kabisa ni Mwajemi (Iran) ambaye ndiye anayewasambazia magaidi silaha zinazotumika dhidi ya Usafirishaji Red sea. Mwajemi akilemazwa baas, biashara ya Ugaidi itakuwa imepunguzwa sana kama sio kumalizika hapo Middle East.'Hawataweza Kuzamisha Meli Zetu Tena!' Trump awaambia magaidi wa Houthi.
Rais wa Marekani Donald Trump, katika chapisho kwenye akaunti yake rasmi ya Ukweli wa Kijamii, alishiriki video ya shambulio la anga la Marekani na kudai lililenga wanamgambo wanaojiandaa kwa shambulio. "Hawa Houthi walikusanyika kwa ajili ya kupata maelekezo kuhusu mashambulizi. Lo, hakutakuwa na shambulio lolote kutoka kwa Wahouthi hawa!" aliandika.
Pia aliongeza, "Hawatawahi kuzamisha meli zetu tena!"
Akisisitiza ujumbe wake kwenye akaunti yake rasmi ya X, Trump alitangaza: "Magaidi wa Kihouthi wanaoungwa mkono na Iran wameangamizwa na mashambulizi ya mara kwa mara katika wiki mbili zilizopita.
Wapiganaji wao wengi na Viongozi wao hawako nasi tena. Tunawapiga kila siku usiku na usiku - zaidi na zaidi. Uwezo wao unaotishia Meli na Kanda unaharibiwa kwa kasi. Mashambulio ya Uhuru wetu yataendelea tena hadi wasiwe na tishio la uhuru wa usafiri wa majini. Chagua kwa Wahuthi ni wazi: Acha kufyatua risasi meli za Marekani, na tutaacha kukufyatulia risasi la sivyo, ndio tumeanza, na uchungu wa kweli bado unakuja, kwa Wahouthi na wafadhili wao wa Iran.
Ala! Kumbe hawajaanza kulia kwa sauti? Ngoja kipondo kikolee - utawasikia wakilia kwa sauti zao za kuzaliwa.Kobazi wamenuna
Tangu mwaka 2023 wamezamisha meli mbili commercial vesselsKumbe kweli meli za Marekani zilikuwa zinazamishwa sasa bona tulipo kuwa unaleta habari za meli za Marekani kuzamishwa mbona nyinyi vigagula mlikuwa mnabisha?
Meli zao Leo zimekumbana na makombora Houth huko Red Sea'Hawataweza Kuzamisha Meli Zetu Tena!' Trump awaambia magaidi wa Houthi.
Rais wa Marekani Donald Trump, katika chapisho kwenye akaunti yake rasmi ya Ukweli wa Kijamii, alishiriki video ya shambulio la anga la Marekani na kudai lililenga wanamgambo wanaojiandaa kwa shambulio. "Hawa Houthi walikusanyika kwa ajili ya kupata maelekezo kuhusu mashambulizi. Lo, hakutakuwa na shambulio lolote kutoka kwa Wahouthi hawa!" aliandika.
Pia aliongeza, "Hawatawahi kuzamisha meli zetu tena!"
Akisisitiza ujumbe wake kwenye akaunti yake rasmi ya X, Trump alitangaza: "Magaidi wa Kihouthi wanaoungwa mkono na Iran wameangamizwa na mashambulizi ya mara kwa mara katika wiki mbili zilizopita.
Wapiganaji wao wengi na Viongozi wao hawako nasi tena. Tunawapiga kila siku usiku na usiku - zaidi na zaidi. Uwezo wao unaotishia Meli na Kanda unaharibiwa kwa kasi. Mashambulio ya Uhuru wetu yataendelea tena hadi wasiwe na tishio la uhuru wa usafiri wa majini. Chagua kwa Wahuthi ni wazi: Acha kufyatua risasi meli za Marekani, na tutaacha kukufyatulia risasi la sivyo, ndio tumeanza, na uchungu wa kweli bado unakuja, kwa Wahouthi na wafadhili wao wa Iran.
Je; majibu yametoka au bado tuendelee kusubiri?Meli zao Leo zimekumbana na makombora Houth huko Red Sea
Majibu haya apo Destroyer imekumbana na kipigoJe; majibu yametoka au bado tuendelee kusubiri?
Hiyo destroyer si ni mali ya Trump? Ni Trump huyo au mwakilishi wake alitakiwa ajibu swali la hoja na. #7 hapo juu. Kama jibu halijatoka, basi sisi tuendelee kuwa na subra. Huenda mtihani umekuwa ni mgumu kwake Trump.Majibu haya apo Destroyer imekumbana na kipigo
Subiri kidume asimame na aje kujitetea mwenyewe -hatuna sababu ya kumsemea kwani yy ni mtu mzima anajua atakalowatenda hao wakorofi wanaojimilikisha njia.Imeloa ulokole ndio upofu wake Yemen sio GAZA mana Gazq nikama jela ndio mana Waplestina wanapata shida lkn Yemen njia imefungwa akuna Kidume wa kupeleka meli yake pale..
Huo nao ni mtihani pia.IRAN nae wanamwagopa sasq njia itafunguliwa vip mbayq zaid Iran anaga Uwoga kabisa!! USA Wenyewe Wajeda wanaunya unya mana ikiwa Watashambulia Iran Je Usalama wa Wajeda wao utakuwa ktk mwelekeo upi mana IRAN eneo lote lile mkono wake unafika..!!!!
Meli zao Leo zimekumbana na makombora Houth huko Red Sea
Yeah. Tusubiri kidogo halafu tutamsikia ni yupi kati ya hao wawili atakuwa wa kwanza kutoa kilio au mguno kuomba poo.Hapo ndiyo penye utamu. Acha tusubiri tuone unogo
Fake news from masjid ubwabwa.Meli zao Leo zimekumbana na makombora Houth huko Red Sea