juzi na jana watu wengi maarufu na ambao wakikohoa tu vyombo vya habari vinaandika hatimaye wanadai kuwa DR Slaa anazeeka vibaya we riz wa jk, we rost azim nyie uhai wa inji hii kweli leo Dr.Slaa huyu huyu mzee wa data na ushahidi unaowakoroga serikali mahali anapokuwa anautolea maana unatoka ndani yenu mukiuuita confidentia - siri acheni propaganda za kumchafua Dr. slaa toen hoja za kumkomboa mtanzania
Dr.slaa allingizwa mjini safari hii, amelishwa data feki, hv sasa yupo kimyaaaa na nasikia ana ugonjwa wa preshaaa. Muacheni mzee wa watu apumzike ameshindwa uchaguzi halafu mnataka kumuongezea stress tena. Pumzika kwa amani Slaaaaaa !
Wanmjua slaa ni kiboko yao . wanaongea juu juu. wambie waende mahakamani . Hawathubutu . Mziki wa slaa wanaujua.
Unaunyatia upromotion nini? Nilidhani wewe ni Riz1, lakini nimehakikisha riz1 yupo uhuru stadium na wewe unaendeleza matapishi yako.