BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
Mkuu mrangi cheki huyu msanii yani aibu aibu. Mwijaku baba.Tanzania sahvi kila mtu msanii
Ova
Ndio maana kimeitwa jinaHawa wasanii wanaotambulisha nyimbo zao kwa bwana Rajabu Zomboko huwa wanaishia wapi?
Sijawahi kumuona msanii alietambulisha kazi yake kwenye hiki kipindi amevuma na kuwa msanii mkubwa nchini.
Hapa nawaangalia jamaa wana gospel ya amapiano😀😀. Watatoboa kweli?