Hawawezagi kujificha kabisa hawa wenzetu

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,076
Reaction score
17,247
Ukitaka kumjua Msichana aliyenunua gari kwa Mkopo wa Benki au Saccos au kuhongwa gari baada ya kufunuliwa kombe wala usipate shida,we mfuatilie Aina ya Status atakazoandika tu utajua anakutumia salamu kwamba NA MIMI NINA GARI SASA HIVI Indirectly....Utasikia tu "AC yangu ina vumbi sana jamani nani anajua fundi mzuri pls help"

Oh My Ghosh,yaani masaa 2 sijasogea hata mita 10 this Kimara Jam sucks"
"Jua kali sana leo Dar guys hadi AC siisikii kabisa.Na nyie mmeona guys au ni mimi tu?"

"What a bad day,gari haiwaki SHIT""Honi yangu leo haipigi kabisa sijui imeingia mende jamani please help"

Yaani atajisemesha weee kwa topic isiyo hata na ulazima,sasa kama mende wameingia kwenye Honi ya gari lako ukiposti FB sisi ndo tunauza dawa za Mende kwenye Wall ama? Wajuzi wa mambo ndo tunakutambua kwamba unatupa taarifa kwamba hatutakiona tena kikwapa chako cha njano kwenye
daladala HAWAWEZAGI KUJIFICHA KABISA HAWA WENZETU
 
Umegonga pabayaaaaa.. Kuna midume pia inatabia za kidada ndo mambo yao hayo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
msaada jamani wapi ntapata fundi kitanda cha chuma maana kitanda changu kipya cha chuma nataka nikipige plasta
 
Sorry, hv ni muda gani mzuri au siku ngapi napaswa kubadili oil kwe gar langi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…