hawayuniii

hawayuniii

Naitwa Joseph Ernei.ni mgeni katika uwanja huu Wa jamii forum.mimi ni mwanaume makini na mwenye fikra njema .Mimi ni mwanafunzi Wa udom.tushirikiane katika kupata na kutoa habari ambazo ni sahihi.jamii forum huwa nasikia kwa watu tu ila baada ya kujiunga najifunza Mengi kuhusu mama yangu yangu Tanzania katika nyanja zote kijamii.kisiasa na hata kiuchumi kuhusu taifa letu.tuwe wamoja kuipenda Tanzania na tukiwa na uchungu na Tanzania yetu .taifa ambalo linahitaji mabadiliko na maendeleo kisiasa.kiuchumu na hata kijamii.Mungu ibariki Tanzania na Mungu tubariki watanzania.tusiwe na siasa za chuki Bali tuwe na siasa zenye tija na mwelekeo kwa mustakabali Wa taifa hili .mwisho nawapenda sana watanzania wenzangu na ninajivuni kuwa mtanzania Wa kuzaliwa.asanteni sana
 
Karibuni wageni wote wawili JF...
 
Back
Top Bottom