Hawezi fanya mapenzi bila kupaka mafuta

Asante kwa ushauri, Ngoja nilihamishie huko. Yap huwa anaushirikiano wa kutosha tu katika kuandaana ila tu maji hola.
 
lengo hasa ni kujua je ni tatizo la muda mrefu/kudumu au limetokea wakati wake tu

Unaweza kumuuliza swali hilo GF au mke wako?? Tena invasively??

Unaweza kutafuta taarifa ila jinsi swali linavyoulizwa ni jambo la msingi sana.
 
lengo hasa ni kujua je ni tatizo la muda mrefu/kudumu au limetokea wakati wake tu
Yap tangu dei one ndo alikua hivyo so nimefikiria nikaona labda nikilileta huku nitapata solution.
 
Babu, mbona mkali. Unaogopa kujua coaster ngapi zilimtangulia? hehehe.[ City;8774859]Unaweza kumuuliza swali hilo GF au mke wako?? Tena invasively??

Unaweza kutafuta taarifa ila jinsi swali linavyoulizwa ni jambo la msingi sana.[/QUOTE]
 
...jamani pamoja na kuwa mwenzetu anamatatizo....MAJIBU YA WACHANGIAJI WENGINE YAMEKUWA TIBA KWA UCHOVU WANGU WA KUTWA NZIMA YA LEO..JF ni tiba tosha. Ninakushauri hata huyo rafiki yako ajiunge hapa atafaidika zaidi kiliko angoje umsemee..hata hivyo hapa utapata suluhu.usijali maneno na majinu ya wachanhiaji wengine..kwani hata msibani mizaha huwepo. Kila la kheri.
 
Babu, mbona mkali. Unaogopa kujua coaster ngapi zilimtangulia? hehehe.[ City;8774859]Unaweza kumuuliza swali hilo GF au mke wako?? Tena invasively??

Unaweza kutafuta taarifa ila jinsi swali linavyoulizwa ni jambo la msingi sana.
[/QUOTE]
Wala sio coaster, labda bodaboda tu tena moja.
 
Babu, mbona mkali. Unaogopa kujua coaster ngapi zilimtangulia? hehehe

Unajua nini Komando,

Kuna watu wengine wanauliza vitu ambavyo logic zinashindwa kuconnect...

Hivi unaanzia wapi kumuuliza mtu utendaji wake wa kazi wakati akiwa na Ex?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…