Hawezi fanya mapenzi bila kupaka mafuta

akishindikana kwangu basi kweli huyo atakuwa ametokea Jangwani,,, mlete bunju kuna hotel moja pale kona then ni PM then potea kiaina ila lipia pesa ya juma moja pale full service ikiwamo lunch,,,, malipo utanipa baada ya mgonjwa kupona na wewe kuridhika.... full payment baada ya miezi 9... best option right?
 
Mpake mafuta ya Zaituni hata shemaji yako huwa nina mpaka mafuta ya zaituni au wewe jipake kwenye kichwa cha dushelele lako jipake Asali kidogo kisha Starehe nae utajisikia raha wewe na yeye pamoja hakuna maumivu wala michubuko hapo.
 
mpeleke bukoba, watampa siri ya urembo. Akirudi mtatandika mpira wa kuzuia maji
 
Pole sana kwa tatizo. Hakuna anayependa matatizo hasa kwenye sekta hiyo ya ndani. Mimi nadhani hili tatizo linaweza kuwa limechangiwa na mambo mengi kati ya haya nitakayo yaahinisha kwa uzoefu wangu.

1.Je ameshawahi kutoa mimba? Siyo wote waliowahi kutoa mimba wanaweza kupatwa na tatizo hili hapa. Utoaji holela wa mimba huweza kusababisha hitirafu katika mifumo yetu ya uzazi kwa ujumla.

2.Je mpenzi wako ashawahi kujifungua mtoto kwa njia ya kawaida? Wakati wakujifungua kwa njia ya kawaida ambayo sio ya upasuaji ina mambo mengi pia. Wanawake wengine unakuta wanapata miwasho muda mwingi,

3.Je mpenzi wako historia yake ikoje? Upande wa maisha yake toka mtoto hadi unakutana nae. Fuatilia vizuri kuna watu wengine utakuta alishawahi kupata unyanyasaji mkubwa sana wakati wakiwa wadogo. Wengine hata kubakwa au kulawitiwa wakati wakiwa watoto. Sasa hiyo inaweza kuwa inamrudia kila awapo katika tendo la ndoa. Hii haimtokei kila mtu pia.

4.Je mpenzi wako ashawahi kuugua ugonjwa wowote ambao ushawahi kumlalzaa kitandani kwa muda mrefu? Kama vile ugonjwa wa kupooza.

Angalia kama anaweza kufanya mazoezi dizaini fulani kwaajili ya kuimarisha misuri yake katika viungo vya uzazi. Pata wataalam wa mazoezi ya kinadada na wamama watakuasidia kwa hili.

Pia mpe jaribio la kuangalia picha za blue amkiwa faragha. Kuwa makini msizidishe mkazua gonjwa lingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…