Hawezi kufanya mapenzi mpaka apake mafuta

Hawezi kufanya mapenzi mpaka apake mafuta

ankol

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Posts
2,355
Reaction score
4,260
Habarini wana Jamvi.
Ninaomba msaada juu ya hili.
Nina mpenzi wangu uke wake huwa mkavu sanaa hata umfanye nini hatokwi na ule ute ute.
Na mkitaka kufanya mapenzi uume hauingii mpaka utumie lubricant. Some times naona kama namuumiza vile.
Hata yeye hafurahii kabisa hali hii.
Je tatizo hili hutokana na nini?
Msaada wowote wa kitabibu wadau.
 
Huo ute ute unaitwa utoko kwa kiswahili,mabinti siku hizi wanauondoa kwa sabuni zenye kemikali wanapooga bila kujua faida zake
 
Nahisi kama mwenzi wako alikuwa akijichua hapo zamani, au ukitaka kumgegeda akiona mchi wako anaogopa anajikuta hamu ya kugegedwa inaisha.

Habarini wana Jamvi.
Ninaomba msaada juu ya hili.
Nina mpenzi wangu uke wake huwa mkavu sanaa hata umfanye nini hatokwi na ule ute ute.
Na mkitaka kufanya mapenzi uume hauingii mpaka utumie lubricant. Some times naona kama namuumiza vile.
Hata yeye hafurahii kabisa hali hii.
Je tatizo hili hutokana na nini?
Msaada wowote wa kitabibu wadau.
 
we una miaka mingapi na yeye mingapi?
 
Back
Top Bottom