valid statement
JF-Expert Member
- Sep 18, 2011
- 2,852
- 873
- Thread starter
-
- #41
Aaaaahaaaaaaa! Na ndo maana stori yako iko biased na umekimbilia kutoa conclusion ya kublame! Hapo sasa nimekupata!
muelekeo wa maisha ndo unatakiwa
mnashindwa kuwaelewa wasichana
unaweza ukawa una kazi nzuri halafu usiwe na muelekeo wa maisha
muelekeo wa maisha ina maanisha malengo ya baadaye au uliyonayo.
sija blame, nimesema kile kilicho ukweli mkuu, wasichana wamekuwa wakitafuta wanaume wenye hali ya juu kifedha, ili wapate maisha mazuri. Na kisingizio chao ni nataka mume awe na msimamo wa maisha.
Yani sio anipende? Ni awe na mali! Upuuzi mtupu.
Msimamo wa maisha au mwelekeo wa maisha?
Hivyohivyo...
Inabidi na sisi wanaume tuanze kuwauliza wale wanaotuteka kama wana msimamo.
Kwa kweli sijui, ngoja nitafute kamusi kama ipo......kwani msimamo na mwelekeo vina maana sawa?
Msimamo kulingana na mtoa mada...........walio na magari, nyumba na kazi nzuri.Wana msimamo na ndo maana wanawateka!
kwa hiyo wewe pretty huna cha upendo wala nini, msimamo mbele, mapenzi nyuma?
Pole!
hebu kua mtu mzima sometimes ,pliiz naomba usinitafutie ban ka ulivomfanyia Mwita25Mwanamke akikupenda ni balaaHata ukimwambia una mtu atasubiri hadi kipyenga cha mwisho, na akidhibitisha atalia na siku inayo fuata atasahau pamoja na kuwa amesubiri miaka
Nirahisi kumpiga kibuti mwanamke uliyempenda kwanza kuliko mwanamke aliye kupenda kwanzaLast edited by tabutupu; Today at 09:57.
HII THREAD MLIVOICHANGIA WANAUME NASHINDWA KUWAELEWA MNATAKA NINI? MKIPENDWA MAKELELE WATU WAKICHUNGULIA WALET MAYOWE VP?
USHAMBA TU WA MAPENZI UNAWASUMBUA
Mimi ningekuchagua wewe...Kaka kweli umeongea vya point ila hebu tuangalie na upande wa pili wa shilingi aisee, hivi ingekuwa wewe ni dada alafu kwa ugumu huu wa maisha unapata nafasi ya kuchagua uolewe na masikini kama mimi hapa au mtoto wa Chenge ungechagua nini hasa? Tusilaumu tu, haya ya kusema mapenzi kwanza mengine baadae yameshapitwa na wakati bana, kama mapenzi yatakuja tu ukiyalazimisha hata kwa huyo mtoto wa Chenge au Lowassa....
Wahasibu mnawaonea jamani! Hivi kuwa mhasibu ni ishara ya kuwa na fedha? Kuhusu hilo la kina dada msiwaonee, hata wanaume siku hizi hawaoi wanawake bali wanaoa kilicho ndani ya wanawake. Mtazamo wa kimapenzi umebadilika sana tofauti na zamani. Wanawake nao hawataki wanaume wenye kipato cha chini na wanaume nao hawataki wanawake wasio na kipato hivyo mimi naon hapo pana conflict of interest.............
Leo unakuwa na mwalimu, unaona hana msimamo wa maisha kwa sababu umetongozwa na daktari, na daktari nae unamwacha ukikutana na mhasibu. Jipangeni sawa sawa, msitukatae eti sababu umepata mwenye gari, nyumba na kipato cha juu. Nimewasilisha....!!
Labda kwa sababu una kipato lakini vinginevyo ungekubali hata kuwa mke wa pili tehe tehe tehe.Mimi ningekuchagua wewe...
Kweli? Hebu jaribu uone, njoo ufue nguo na majani ya mpapai kama ndio sabuni huku unapiga mswaki na mkaa kama ndio toothpaste. Asubuhi unawahi kuamka saa 11 kasoro kwenda kisimani kilomita 3 toka home, kusafisha nyumba na kusafisha watoto 4 tulionao ambao wote wako primary mkubwa darasa la 5 na mdogo la 3, kisha unawahi shamba fasta, saa ya kurudi shamba unakuja na mzigo wa kuni na kisamvu unakitwanga unapika ugali ndio tunakula na tukienda kulala haki yangu kama kawaida......., hamna maswali wala umechoka sijui niniMimi ningekuchagua wewe...