Hbr,
Rafiki yetu, inaccessible na internet, hawezi/hajui kunusa tangu utotoni. Kazaliwa hivyo. Anajiona handicapped na angependa kunusa kama inawezekana. Yupo 37yrs M.
Afanyeje/atumie dawa/tiba gani aweze kunusa? Msaada pse wataalam na wana JF kwa ujumla.
Shukrani.