Haya;akina Zuhura hawa!!

Eiyer

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2011
Posts
28,259
Reaction score
20,891
Akina Zuhura tabia zao bana hazina tofauti sana na za akina Rose,wakati akina Rose hupenda kutembea na waume za watu,akina Zuhura wengi wana watoto wa nje ya ndoa!Aidha wamezaa kabla ya kuolewa au wanawabambikia waume zao watoto ambao sio wao!Sio vibaya ukawa makini unapokuwa na mahusiano na hawa watu,japokuwa watafiti Zefa Nuto na Nduka Liziwe wanasema kwenye taarifa ya utafiti wao kuwa sio wote huwa hivyo,ila wengi wao huwa hivyo!
 
Zuhura ni jina la binadamu?
 
Dada yangua anaitwa Zukhra, siyo Zuhura. Samahani sana mzee
 
Mhh kazi kweli kweli..haya na akina juma je??na steven??
 
Zuhura- Moslem
Rose - Christian
:argue:
 
Dhambi ya ubaguzi wa kidini huanza taratibu kama maumivu ya kichwa, tuone mwishowe!!!!!
 
mmh acha kukashfu majina ya watu! toa kwanza boriti kwenye jicho lako ndipo uone kibanzi kwenye jicho la mwenzako.😛oa
 
Kuna jamaa yangu kaoa juzi binti zuhura mbona utamkatisha tamaa na binti mjamzito
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…