Mnyero fc wakalia tako moko roho zimewauma sana leo,walijua yale ya Liverpool yatakua na kwao leo lkn m pesa yao waliyowapa ndanda ili wakamie match imeenda bure
Wanachofanya Yanga ni kama kuichelewesha Mahakama kufanya kazi yake wakati ushahidi upo wazi kabisa na hukumu ishajulikana. Chura FC inajitutumua ili eti kuichelewesha Lunyasi kuchukua ndoo yake, Utopolo bana!!πππ