Haya are the most intelligent people in Africa (Eastward) followed by Kikuyu in Kenya

Asilimia kubwa matajiri wa kichaga utajili wao niwanduba fatilia hili utaleta mlejesho.
 
kabila lako halina hata mwalimu wa primary
 
Mimi mbona wa huko ingawa nilikuwa bwege tyu darasani
 
Mleta uzi bwana, huko Bukoba mmeomba msaada wa chakula kwa Magufuli juzi hapa mkaishia kukashifiwa, Means hata chakula tu bado ni mgogoro, halafu u come here boasting of intelligence, wasomi hao wamesaidia nini?
Ule mji wa Bukoba unafanana tu na halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo, Nothing special,
Naskia (I am not sure) Huyo George Kahama aliitwa Sir na Mwl.Nyerere Kama utani tu sababu aliporudi Tanzania Alikuwa anaigiza na kuuishi uzungu,
By the way, Africans we have lots of problems mazee,
Pengine tushukuru hata ujio wa wakoloni, maana I see hata hizo mashule tulijengewa na wazungu,
Besides, Kuna kitu gani tunajivunia Leo 2017 ikiwa bado tunategemea kilimo cha Mvua?
Please msituchoshe aisee..
 
Watu ambao unaweza ukaniambia ni intelligent ni wasukuma kidogo nitakuelewa wamewazidi makabila mengi sana.
 
What is the real diffintion of inteligent, and why u connect here?
 
Tanzania nzima wilaya nilizotembelea nikakuta hadi vijijini Kuna Nyumba bora Ni karagwe na Mbinga
Ukiondoa Wilaya za Dar, Wilaya ya Mufindi - Iringa ndio Wilaya yenye wakazi wenye Pato kubwa zaidi Tanzania, (What do u say?)
Inashinda hata Wilaya za Geita na Mwadui zenye Madini.
 
Ndio ukweli sio unasikia Kahama hakua na knighthood kutoka kwa malkia aliitwa tu na mtani wake Mwalimu
 
Watu ambao unaweza ukaniambia ni intelligent ni wasukuma kidogo nitakuelewa wamewazidi makabila mengi sana.
Wasukuma hawa hawa tunaoishi nao hapa Tanzania au kuna nchi nyingine ina kabila linaitwa Sukuma?
 
Rudia utafiti vizuri, utagundua ni Wachaga na Kenya sio Kikuyu ni Luo
 
Acha uongo wako, hakuna cha juhudi pasipo upstairs. Tumewaona watu wengi hawajishughulishi kusoma lakini wanatusu mitihani utadhani alikaa kushirikiana na Mwalimu kutunga mtihani. Wengine huwa wanakesha lakini ikifika asubuhi kila kitu kimeshayeyuka. Tupambane tu na hali zetu.
Ninamalizia Hypothesis yangu juu ya makabila vichwa Tanzania kuanzia la kwanza hadi mwisho, just watch out sooner or later nitawawekea makabila yote ya Bongo kwenye Jamii Intelligence.
 
Una uelewa fulani soon nitaweka bandiko kwenye Jamii Intelligence tuone ni Kabila gani la kwanza hadi mwisho kwa akili Tanzania na why?
 
Hizo sababu siyo za kweli nakuhakikishia na katika uchambuzi wangu wa makabila karibia yote Afrika na mataifa yote duniani, sijawahi kuwa convinced na hizo sababu. Bahati mbaya sana watu wengi wanadhani kule ambayo wameendelea kielimu imetokana na wakoloni kuanzia huko kujenga shule. Hiyo inaweza kuchagua tu kwa asilimia labda kati ya 5 - 10% (kama inaweza kufika huko).
Ni sawa sawa umchukue mtoto asiye na kipaji cha mpira halafu wampe kila kitu kuanzia mkufunzi, chakula, miundombinu na kila kitu, atashindwa tu.
Angalia masuper star wa kweli wa Brazil - Pele, Ronaldo, Ronaldinho, Rivaldo na wengi wengi walianza tu kitaa.
Njooni Jamii Intelligence soon nitaweka bandiko lenye makabila yote na nitayapima makabila hayo kwa vigezo 11 na baada ya hapo mtajua Kabila kuanzia la kwanza hadi mwisho kwa akili Tanzania.
 
Kwa nini basi Inchi yetu hainufaiki kiuchumi na Wahaya hawa.
Mara nyingi watu wenye akili nyingi siyo watendaji kazi/watawala wazuri.
Rais moja mzungu mstaafu wa Afrika Kusini aliwahi kusema " The most inteligent black African can not think beyond one year"
Huu utafiti ulimfanya apewe PHD.
Hatuoni ufahari kwa mtu kuwa na akili nyingi lakini akawa mchoyo kutumia hiyo akili yake kwa manufaa ya wengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…