Haya are the most intelligent people in Africa (Eastward) followed by Kikuyu in Kenya


Wahaya ni misifa tu inawasumbua kwani wana kutabia cha kutaka kuonekana kuwa wana akili Kumbe wanalazimisha tu.

These guys ni wasanii ... Opportunists and hypocrites!

Hebu tuwekee wahaya mabilionea kwani kuwa kwenye hizo taasisi kwa wingi ulioutaja ni ishara kwamba wana elimu kubwa ... Sawa wana elimu but ARE THEY ABLE TO PUT THE KNOWLEDGE INTO PRACTICE?

Ndugu competence inaundwa na vitu muhimu vitatu: KNOWLEDGE, SKILLS & ATTITUDE (ASK). Tofauti Kati ya knowledge na skills ni kwamba knowledge (Intelligence Quotient - IQ hufanya watu waelewe vitu kwa wepesi kuliko wengine) inapatikana kwa kuhudhuria lecture na kusoma makabrasha meeengi na makubwa makubwa (wahaya ni mahiri hapa nakubali); SKILLS ni uwezo wa kutumia knowledge kusolve problems (hapa wako zero kwani miPhD na Uprofesa haujawasaidia kuleta Ubunifu katika kazi ... Ndio maana maprof wengi ni maskini ... Ukijumlisha vipato vya maprof na MaDR wote bongo havifikii nusu ya utajiri wa mtu Kama Dewj au Mengi); Attitude inamfanya mtu awe na low/high Emotional Intelligence/quotient (EQ) ... Hapa wahaya wengi wana EQ ndogo kwani Sifa mingi na kujifanya wajuvi huwafanya wanajamii wawakimbie ukiongeza na utapeli ndio basi tena.

Kwa hiyo mleta mada kujipanga upya ... Nenda ukasome kuhusu intelligence vizuri ndio uje umwage PUMBA zako hapa!!!
 
We mchaga nimeona mbona mi mmara sina kinyongo nao
 
We.jamaa jaribufanya utafiti hapa dunian mabilionea wana elimu gan??
Na pia tazama mifano ya maprofesa maarufu hapa dunia wana kipato gan??
Acha chuki binafsi bhana
 
We.jamaa jaribufanya utafiti hapa dunian mabilionea wana elimu gan??
Na pia tazama mifano ya maprofesa maarufu hapa dunia wana kipato gan??
Acha chuki binafsi bhana
Bora umemwambia ye anadhan uatjiri ni ule wa mangi wa LA nne
 
Nimeipenda sana hiyo fact ya UDSM kama ni ya kweli.
 
Bora umemwambia ye anadhan uatjiri ni ule wa mangi wa LA nne
Wahaya wapo vizur mkuu..pale coet udsm tym nasoma nilikuwa nawaona weng tuu ktk kusoma wanapambana...yes wanapenda sifa so huwa hawakubali kuaibika kuwa wa mwisho class huwa sifa zao zinawasaidia.....sio kwamba n vichwaa sana ila wana juhud za kusoma kwa bidiii
 
Hellhehehe
 
We.jamaa jaribufanya utafiti hapa dunian mabilionea wana elimu gan??
Na pia tazama mifano ya maprofesa maarufu hapa dunia wana kipato gan??
Acha chuki binafsi bhana

Wewe jamaa hujanielewa vizuri ... Soma comment vizuri ... Ndio maana nimelinganisha maprof na kina Mengi ambao kitaaluma hawako kivile Kama wahaya
 
We mchaga nimeona mbona mi mmara sina kinyongo nao

Wala si kinyongo Bali ni fact ... Wamezidi misifa ya kijinga ..

Ingekuwa hivyo wazungu ambao ni wavumbuzi wa kila kitu mpaka watu wanadiriki kusema DUNIA YA MUNGU VITU VYA WAZUNGU Sijui wangefanyaje ... Wafanye mambo Tutaona waachane na mambo ya makaratasi makaratasi ... Wanakufa wanaacha MaPhD kwenye makaratasi ambayo hayajaongeza thamani yoyote hapa duniani na kuwaachia watoto wao tabu kwa sababu ya Sifa za kijingajinga!!!
 

Wale wahaya wa kule Tmk na mwananyamala wana qualification gani??
 

Haya nitajie Genious wa Kihaya anayefahamika .... Ni wa kukariri tu hao!!!
 
Haya nitajie Genious wa Kihaya anayefahamika .... Ni wa kukariri tu hao!!!
Acha mihemko kaka.cha.msingi kaza...mtoa mada katoa mifano.kibao sijui wataka nn zaidi..kuna tym wachaga mkubali kuwa mpo vizur ktk bizness na sio ktk kufananisha na wahaya....mie kwa mtazamo wangu wachaga wapambane na wakinga na sio wahaya..kwa swala la elimu hata wasukuma na wale ireje mbeya wapi speeda ya ajabu ..

Sent from my HUAWEI Y330-U01 using JamiiForums mobile app
 
wahaya ni watu ambao wana misuli ya sifa wanapokua shuleni... kusoma sanaa na kukariri ila ubunifu wa kitaaluma hakuna..

nikipata list ya wahaya wanasayansi wavumbuzi ndo nitawakubali... ila kuongoza darasani na kujaza mavyeti tu... hilo pekee halifanyi wao ndo intelligence sanaa....
they have ability to do so but they are not as good as they seem..
 

Unafahamu intelligence ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…