Haya are the most intelligent people in Africa (Eastward) followed by Kikuyu in Kenya

Mkuu mimi nakutest tu nipate concept zako..
Sasa mkuu watu wanathamini kucheza Ngoma,kuchunga Mbuzi na Ngombe Nyikani na sio Ranchi unafikiri atafahamu umuhimu wa elimu? Nyie Wahaya ndugu zenu washaenda ulaya sababu ya Elimu wanarudi wananunua Ma VX wanajenga Nyumba safi wewe unafikiri utawaza nini zaidi ya Elimu? Ulishajiuliza ata maudhui ya miondoko ya Pwani na athari zake katika Malezi? Naamini wewe ni Muelewa ifike mahali mjifunze kusaidia baadhi ya Makabila bado yana Tamaduni za kijinga.Ujinga mkubwa ni pale fursa inaletwa katika jamii na jamii I nashindwa kuitumia
 
Kati ya Mhaya na Mkwere wa Bagamoyo na Mhadimu wa Zanzibar, ni wapi walianza ku-enjoy matunda ya elimu ya kizungu?
Wakwere na Mhadimu waliendekeza mila,desturi na ukaidi katika Elimu huo ndio Ujinga wao uliowafikisha hapa,bila naamini baadhi ambao washajua Mwanga ni nini watasoma.
 
Wakwere na Mhadimu waliendekeza mila,desturi na ukaidi katika Elimu huo ndio Ujinga wao uliowafikisha hapa,bila naamini baadhi ambao washajua Mwanga ni nini watasoma.
Kwa nini useme waliendekeza mila na kukaidi elimu? Kwa nini Wahaya ndio hawakuendekeza mila iwe Wakwere?
Kwani akili ni nini? Kama hawakuwa na uwezo wa kujua kipi kizuri (elimu) na kipi kibaya, utasemaje tena eti wana akili?
Wahadimu ndio walioanza kupata elimu huko Zanzibar, wakifuatia Wakwere wa Bagamoyo na kisha kusambaa Nchi nzima. Hata hivyo, kuanzia miaka ya 1890s - 1920s, hakuna maeneo yaliyokuwa na shule nyingi nchini Tanzania kama maeneo ya Pwani.
Hata hivyo, baada ya elimu ya sekondari kuanza kupanuka, walikuwa wakifanya mitihani ya Cambridge ili kuendelea mbele, so hapo ndipo ilianza kujitokeza tofauti kwamba, kuna baadhi ya maeneo wanafunzi wanaomaliza shule za msingi walikuwa bright zaidi kuliko kwingine - so utaacha kujenga sekondari Kamachumu, ama Mwakaleli, Kibosho au Nkoanrua, ambako wanafunzi wengi wanashinda mitihani ya shule za misingi uende ukajenge sekondari kwenye maeneo ambako wanafunzi hawashindi wengi?
Kama ni wewe una bajeti ndogo ya kifedha ya kuweza kusomesha mtoto mmoja na una watoto wawili wote wamefaulu mtihani, utachukua aliye na ufaulu mkubwa ama utachukua wa ufaulu mdogo?
 
Ok,inatulazimu tukubali.Sasa watu kwenye Ajili/Ufahamu mkubwa Haya/Chaga na Nyakyusa mnafanyaje kuwasaidia jamii nyingine.Kwa upande wako unahisi nini kifanyike? Inasemekana ata kabla ya Mkoloni mfumo wa Wahaya na jamii fulani za Uganda ulikuwa imara na maarifa mazuri..
 

Are they intelligent or mabingwa wa kukariri masomo ya darasani?
 
Juzi kati nilikuwa natazama kipindi kimoja kinarushwa ITV kinaitwa "MEZA HURU". Mada ya kipindi hiki ilihusu UBONGO na walimualika mtaalam mmoja ambaye ni daktari bingwa wa masula ya ubongo kutoka Muhimbili.
Huyu mtaalam kwa kabila ni Muhaya.

Mwisho wa kipindi mtangazaji alimuuliza kuwa inasemekana wahaya ndio kabila lenye akili sana Tanzania, je, ni kweli?

Mataalamu yule alijibu ni kweli kabisa na akatoa sababu tatu,

KWANZA, akasema Wahaya wanaishi kando ya ziwa victoria na hivyo wanakula samaki sana ambazo zinawaongezea sana uwezo wa akili.

PILI, Wahaya wanaishi katika eneo la ikweta linalopata mvua ya kutosha na hivyo wanapata vyakula mbalimbali kwa wingi vikiwa fresh.

Na TATU, akasema ni mlo wa senene ambao huchangia sana afya bora ya akili.

Niseme sina ugomvi na vyakula kama hitaji muhimu kwa afya ya mwili na akili, Walakini na mimi niliendelea kujiuliza, Ni kweli wahaya ndio kabla lenye akili sana Tanzania?

Kwa heshima zote naomba nipingane na daktari bingwa yule wa masuala ya ubongo, kuwa SIO KWELI.

Kwanini napinga:

MOJA, Tunayo makabila mengi sana yanayoishi kando ya maziwa, mito, bahari na mabawa ambao nao chakula chao ni samaki, tuna wakurya na wengineo kule musoma, waha, wasukuma, wa ntwara, wapemba, watanga nk. Sasa sioni kwa nini na wao wasiitwe wenye akili sana.

PILI, Jamii za makabila wanaoishi eneo la Ikweta ni wengi ndani Afrika mashariki na kati na haswa katika eneo linaloitwa kitaalam "INTERLACUSTRINE REGION", likijumuisha maeneo yote yanayozunguka ziwa victoria. Sioni kwanini effect ya akili iende zaidi kwa wahaya.

TATU, Mtaalam alisifu ulaji wa senene kwa wana madini ya zinki. Naamini vyakula vingi tu vina madini haya wadudu mbalimbali kama kumbikumbi na mende, vyakula vya mbegumbegu jamii ya maharagwe na karanga n.k. Bado sioni kwanini effect kubwa iende kwenye akili za wahaya.

Nina amini mtaalamu huyu pamoja na wengine wenye imani hii ni kuwa kuwapo kwa Wahaya wengi, katika sekta fulani fulani za kisomi mfano Madaktari, Sheria, famasia, n.k, ni akili kubwa! Asichojua mtaalam huyu labda, nikuwa mafanikio hayo ni matokeo ya sera za kikoloni kuwekeza katika elimu haswa kwa baadhi ya maeneo.

Kila eneo limekuwa na product za aina ya watu kutegemea uwekezaji uliofanyika materially na intelectually.
 
Hili lina ukweli angalia makabila yote yenye uhakika wa kubadilisha mlo penye ardhi nzuri wanaopata vyakula vya freshi wana akili nyingi
Chunguza Kilimanjaro, Kagera, Mbeya, Mara na Wasukuma waliopo Kanda ya ziwa
 
Nakubaliana nawe mleta hoja hasa kwenye paragraph yako ya mwisho. Lakini sikubaliani na huyo mhaya. Kwanza mhaya mzuri ni yule (samahani) aliyekufa.
Mimi hawa jamaa ni watani zangu na hivyo sioni ni wapi wana akili hizo. Hivyo naamini tunawazidi hawa ki akili .
 
Kama aliyetoa hayo maoni ni mhaya then sioni kama Kuna haja ya kuumiza kichwa bali kumpuuza tu! Pride is the mother of arrogance!! Ni mhaya gani kafanya lolote ambalo unaweza sema kwamba,"Huyu mtu kichwa!". Kugundua katerero au?
 
Hili lina ukweli angalia makabila yote yenye uhakika wa kubadilisha mlo penye ardhi nzuri wanaopata vyakula vya freshi wana akili nyingi
Chunguza Kilimanjaro, Kagera, Mbeya, Mara na Wasukuma waliopo Kanda ya ziwa
Mbona mkoa wa Morogoro una sifa ya kusitawi aina nyingi ya mazao lakini sifa hii ya akili haipo kama hiyo mikoa mingine, unadhani ni nini sababu?
 
Kama aliyetoa hayo maoni ni mhaya then sioni kama Kuna haja ya kuumiza kichwa bali kumpuuza tu! Pride is the mother of arrogance!! Ni mhaya gani kafanya lolote ambalo unaweza sema kwamba,"Huyu mtu kichwa!". Kugundua katerero au?
Na Tanzania kama nchi, tukanufaika na kujifunia, kama ni akili za kujitafutia maisha yake na familia tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…