Haya are the most intelligent people in Africa (Eastward) followed by Kikuyu in Kenya



Kama kuna mhaya hana ghorofa hapa mjini basi huyo amechanganya damu.Ni nyumba chache sana kule uhayani ambazo hazijajengwa kisasa na pengine ni kwa sababu tu ya historia na uatamaduni.Hakuna vijiji vyenye nymba bora kama uhayani.
 
N
Ni kweli mkuu, shahada zao wa
Sawa, fani ya UTAPELI naona umejisahaulisha
 
"most intelligent" wamevumbua kitu gani cha faida kwa jamii ya Watanzania let alone Africa??
 
Hebu soma post kuu ya huu Uzi.
kwenye uzi hakuna jawabu la swali langu.

ngoja nili fine tune swali langu tena...jee, "most intelligent" wamevumbua kitu gani cha faida kwa jamii ya Wahaya let alone Tanzania? maana kule Uhayani sijaona kinachoweza kuthibitisha uwepo wa the so called "most intelligent" people kule!
 
Kabla ya Uhuru kulishakuwepo na Bunge kamili kule uhayani.

Ila Kwa sababu ya propaganda za Nyerere ambazo zimeathiri mpaka sasa ni kutaka mkoa huu ufanane na mikoa Mingine ili usije ukarudisha ukabila bongo

Fuatilia hotuba ya Nyerere mwaka 1994 kuhusu ukabila .au nenda YouTube andika Nyerere na wahaya.


Sasa wamebaki Tu kuendeleza vijijini huko ambako Kwa tz hakuna mpinzani
 
kwa hiyo Nyerere ndiye aliyefanya Wahaya wasitumie u "most intelligent" wao kufanya uvumbuzi wowote wa maana?

mimi najua mtu ambaye ni "most intelligent" ana uwezo wa kuwa na plan B, C, D, nk ili afanikiwe katika anachokipigania!
 
kwa hiyo Nyerere ndiye aliyefanya Wahaya wasitumie u "most intelligent" wao kufanya uvumbuzi wowote wa maana?

mimi najua mtu ambaye ni "most intelligent" ana uwezo wa kuwa na plan B, C, D, nk ili afanikiwe katika anachokipigania!
Ndo maana wamekimbila nje .

Unajua idadi ya wahaya waliopo marekani? Ulaya je?

Wengine wameama kabisa nchi na hawarudi huku tena
 
Ndo maana wamekimbila nje .

Unajua idadi ya wahaya waliopo marekani? Ulaya je?

Wengine wameama kabisa nchi na hawarudi huku tena
haya, tuseme upo sahihi.... but jee, huko Ulaya wamevumbua nini??
 
You have clearly presentented your point but you were too emotional and ethnic affiliated!..
Thank You but nowadays we are not singing such an outdated song, We use to sang new song called "we are the one.....(thanks Michael Jackson)
......sorry...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…