Haya are the most intelligent people in Africa (Eastward) followed by Kikuyu in Kenya

Mkuu utakuwa ulikuwa kilaza wewe jamaa ni wakawaida sana tatizo mbwembwe na msuli tembo nimewapa tabu sana wakati nasoma
 
Zungumzia pia tatizo la ukabila kwenye hicho chuo wanachoongoza....tutajie wahaya wanaoongoza/best students huko Mzumbe SUA TIA etc kama hao wako hawajabebwa na kina lecturer Karugendo na Ishengoma waliojazwa hapo udsm
 
Wajaluo wa Kenya, waluhiya, wabaganda na watutsi?
 
mlete uzi ni hayawani wa kihaya tuuh ameamua kujigamba hapaa...
 
Zungumzia pia tatizo la ukabila kwenye hicho chuo wanachoongoza....tutajie wahaya wanaoongoza/best students huko Mzumbe SUA TIA etc kama hao wako hawajabebwa na kina lecturer Karugendo na Ishengoma waliojazwa hapo udsm
Mbona siku hiz kinaongozwa na watu wengine lakini bado best students wanatoka uhayani

Mfano wa mwaka juzi
 
Lecturers wengi bado ni nshomile
Sasa kwa nin lectures wengi wawe nshomile?

Na sio UDSM Tu hata MUHAS, Bugando hata mkuu wa hospital ya Bugando pia ni nshomile.

Je kairuki hospital na chuo je? Vyote vinamilikiwa na wahaya.

Why wahaya?
 
Ndiyo maana elimu inashuka siku hizi[emoji848], nshomile wanachojua ni majisifu zaidi kuliko kutenda kazi.
Acha ukabila wew na inferior complexity wew.

Hiv nchi ingekuwa wap sasa wasingekuwepo wasomi?
Kwani Waziri WA elimu ni muhaya?
 
Acha ukabila wew na inferior complexity wew.

Hiv nchi ingekuwa wap sasa wasingekuwepo wasomi?
Kwani Waziri WA elimu ni muhaya?

Kitu kinachowaangusha Wahaya ni Ukabila na Majisifu (kupenda sifa).

Wanaweza kuwa na mambo mengine mazuri ila hayo mawili yanawaangusha sana.

Mimi nimepata kufundishwa na Waalimu wa Kihaya wengi toka Primary,Sekondari O &A level na hata chuoni, sijapata kuona mwalimu mzuri hata mmoja wa Kihaya mbali na kuonyesha UJUAJI tu, ---kufundisha ni kipaji, naweza kusema Wahaya hawana vipaji vya kufundisha licha ya uwezo wao wa kuelewa masomo, (aptitude and academic excellence).
 
Wewe ukilaza wako, ndio unataka usingizie kabila, nenda ukafundishwe na wagogo wakina Prof. Kabudi, ili uelewe
 
Kwa hiyo ni kabila gani lenye kufundisha vema kuliko wahaya?

Hiv Kwa nini walimu wawe wahaya?
 
Reactions: Qwy
Ndiyo maana elimu inashuka siku hizi[emoji848], nshomile wanachojua ni majisifu zaidi kuliko kutenda kazi.
Wewe ukilaza wako, ndio unataka usingizie kabila, nenda ukafundishwe na wagogo wakina Prof. Kabudi, ili uelewe
Au nenda ukafundishwe na Prof. Lipumba akupe ujanja ujanja wa uchumi wake na CUF. Unakuta mtu lina, hali mbaya kimaisha kazi kulalamikia Wahaya Wahaya nakupoteza Megabytes ambazo ungezitumia kwy YouTube kujifunza stadi za maisha, kazi kulalamikia Wahaya Wahaya
 
Wahaya mmekosa haya ya ukabila.

Ntakugambira stupid in front of your wife !!.😁
 
Sasa unabisha nini?

Haya are the most intelligent people in Africa after Igbo of Nigeria

Sasa unapoona fahari kuitwa the "most intelligent people" pia usione aibu kuitwa "the most "tribalist" tribe on earth"-- in this case you are second to none-- "hakuna kizuri kisichokuwa na kasoro" wahenga wamesema, na kasoro yenu ni "tribalism" ikiambatana na "nepotism".

Nilipokuwa sekondari nilisoma na wahaya kadhaa darasani, Kuna Muhaya mmoja alikuwa anaona "Aibu" kuniuliza maswali ya hesabu yaliyomshinda na alikuwa anatoka kwenda kuuliza hayo maswali kwa Muhaya mwingine katika darasa jingine, na alikuwa akienda bila kijificha yaani anakwenda huku akisema mbele yetu "nakwenda kwa fulani akanifundishe".

Mwanzoni mimi nilikuwa siwajui vyema Wahaya lakini nilipoanza kuwajua vyema haikunipa shida tena.

Primary nilikuwa na rafiki wa kihaya "Emanuel Ruta",alikuwa rafiki yangu, alikuwa analeta vitabu vya hesabu vya form one au two vya kaka yake tunafanya pamoja mahesabu ya form one alinipenda kwa sababu nilikuwa nakokotoa kinyama- namshukuru Mungu kwa hilo.

NB, Kuna baadhi ya Wahaya wachache ni poa sana.

Ninasema ukweli kwa sababu Wahaya ni watani zangu.
 
We kabila gani Kwanza .

Nami nikuchambue nilioshakutana nao

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
 
Sasa kwa nin lectures wengi wawe nshomile?

Na sio UDSM Tu hata MUHAS, Bugando hata mkuu wa hospital ya Bugando pia ni nshomile.

Je kairuki hospital na chuo je? Vyote vinamilikiwa na wahaya.

Why wahaya?
Good question.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…