Haya are the most intelligent people in Africa (Eastward) followed by Kikuyu in Kenya

Ki Kikuyu no labda luos wa Kenya baba zake Obama
 
A Level PCM Usagara nilimsumbua mchaga mmoja alikuwa anakesha wakati mie najifunza kula bia. Aliiywa KIMBI. Hivyo IQ haina ikabila ni juhudi ya mtu na namna alivyoumbwa.
Kimbi ninamfahamu, alikua one of the best students mwaka wetu, alituburuza sana enzi, hizo. wewe uliokua unakunywa bia matokeo yako ya form Six yalikuaje mkuu.
 
Kwahyo kwa madai yako mtu akiwa msomi au yupo vizuri upstairs lazima awe tajiri. Kwa misingi hiyo nadhan wakina Galileo, Newton na wengineo wangekuwa vibopa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wamefanya nini cha maana kikaoneka dunia nzima...most intelligent alafu wanasoma na kukariri mavitabu ya mzungu? WTF kwanini hawakuanzisha vya kwao..... waafrika hawaendelei sababu ya UJINGA Kama huu yaani kukariri mavitu ya Mzungu nako mnajiita most intelligent?....hahahaha pathetic creatures.....poor Africans...
 
Tribalism iko apo ila cha ajabu wengi wao ni waajiriwa not waajiri,

Leteni idea not gpa kubwa still bado tz we lack alot
 

william paschal class mate wangu moshi tech PCM..,daaaah jamaa akajakupiga Finance UDSM


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hizi sifa zitawamaliza
 
Kabisa
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Umeongea facts kubwa sana udini na ukabila ni ujinga mkubwa kuwahi kutokea kwenye maisha ya Waafrika. Tupinge udini na ukabila Waafrika
 
Mmecomment vizuri, ila sijaona akisema waliisaidiaje Tanzania pamoja na usomi huo. Waligundua nini au legacy walioiacha TZ. Akiachilia mbali tabia hii ya kikabila na kutaka kujitenga na waTZ wengine kuwa wao nibora uliko wote hakuna cha msingi mtoa mada amekisema kinachoweza kuwasaidia WaTZ katika andiko lake.
 
Wote hao walikuwa wabinafsi tu

Na aina ya watu kama hao wakipatikana tz ni wabinafsi
Maana hii kitu iko damuni

Ova
 
Walibebana hao hamna kitu wasomi wapo kibao kila kanda sema wao wabebana ukianza na justian ambaye ndo wa kwanza kupata PhD Harvard ili ndo ilipelekea sana kubeba wenzio

Uhalisia ni huu nyie ni maskini sana namaanisha wahaya masikin mno huwezi hata kuwanonea wivu kozi ni maskini wa kutupa
 
A very intelligent person is not necessarly very wise but must necessarily posses some degree of wisdom. Likewise, a very wise person is not necessarily very intelligent but must as well, possess some degree of intelligence.
 
Watu wa Mkoa wa Mara imewabeba sana hao!! wahaya wanatabia za kuiba Mbegu mara wanasema ni wao!! hao watoto karibia robo tatu wamezaa na watu wa Mara hasa Musoma mjini /Vijijini na Tarime!

Hata Maria Nyerere walikuwa wana sema ni muhaya ivo kupelekea kumuita nyerer muhaya!! akapinga. yaani ni wajanja janja flani hivi!...miaka ijayo hata wataimeza Mara waseme eti ni kanda ya ziwa!

wALIPOPATA pata kichapo cha idd amini pale kyaka huwezi amini walivyo jaa Ikulu palee Magogoni tena kwa Magoti wakitubu maprofesa eti Julius awasamehe kwa kumfananisha na Muhaya! sitasahau!

hata samaki hawajui kuvua wanaombaga misaada Majita huko na ukerewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…