Haya chukueni hii mapema kwani ni ya uhakika 100% kuwa Halima Mdee Kumrithi Askofu Gwajima Kawe kupitia CCM

Kimsingi huyu kijana alikuwa bado anahitajika bungeni.Amekuwa akitoa michango yenye tija bungeni.
Binafsi naunga mkono achukue fomu CCM,kwa sababu sioni chama kingine ambacho anaweza kwenda baada ya kufukuzwa CDM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…