GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,685
- 128,178
Hii ni taarifa au ni habari?Tukisema kutwa hapa kuwa Wakagueni vizuri Madereva kama hawavuti Bangi na Mabasi yao yako Imara hamtuelewi tu.
Both.Hii ni taarifa au ni habari?
Tukisema kutwa hapa kuwa Wakagueni vizuri Madereva kama hawavuti Bangi na Mabasi yao yako Imara hamtuelewi tu.
Asante tunafatilia kaka ppmTukisema kutwa hapa kuwa Wakagueni vizuri Madereva kama hawavuti Bangi na Mabasi yao yako Imara hamtuelewi tu.
Swadakta Mkuu.Bangi na vichupa, dereva anazuga anakunywa maji kumbe anakunywa kilevi, kuwepo na vizuizi vya kuwapima ulevi barabarani
Wana route nyingi, si IFOZA pekeeHivi Kidinilo ni yale mabasi ya Ifakara?
Ifoza km Ifoza mwana wa pakayaWana route nyingi, si IFOZA pekee
uchaguzi huu umetia fora kwenye kafaraTukisema kutwa hapa kuwa Wakagueni vizuri Madereva kama hawavuti Bangi na Mabasi yao yako Imara hamtuelewi tu.
Umeshaniacha, najua sangula na salu tu πIfoza km Ifoza mwana wa pakaya
Mkuu kuna nini tena aise!secretarybird maarufu kama mamodinyo baninyo π₯Ί
Hahahaha hatare sana,Mkuu kuna nini tena aise!
Kwa kweli mola atujalie.
Ni ngori πHahahaha hatare sana,
Kwenu kule!!!! Miye kwetu.Umeshaniacha, najua sangula na salu tu π
ShindwaNi ngori π