Haya hapa majina ya ajira Mpya za Afya Septemba 2023

Haya hapa majina ya ajira Mpya za Afya Septemba 2023

Lugano5

R I P
Joined
Jul 15, 2010
Posts
4,520
Reaction score
757
Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) inapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali za kada za afya waliowasilisha maombi katika kipindi cha mwezi wa April, 2023 kuwa mchakato wa kuwapangia vituo vya kazi umekamilika kwa awamu ya tatu.

Awamu hii ni kwa ajili ya kujaza nafasi wazi 139 za Watumishi ambao hawakuripoti katika vituo vya kazi walivyopangiwa awamu ya kwanza.

Waombaji wote walio pata nafasi wanatakiwa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-

Soma PDF
 

Attachments

Ww lugano ....nmekuja mbio nazan yule tajiri wa jf ...kidukulilo ana madin balaa.
 
Back
Top Bottom