Haya Hapa Majumba ya Putin!!

Farolito

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2018
Posts
12,001
Reaction score
27,175
Huyu jamaa hana tofauti na viongozi walafi wa Kiafrika ambao hujilimbikizia Mali huku wananchi wao wakitaabika.

1. Makazi rasmi ya Putin,Barvikha Moscow

2. Makazi rasmi ya Putin,Novo-Ogoriovo Moscow

3. Makazi rasmi ya Putin,Barvikha Moscow

4. Makazi rasmi ya Putin,Saint Petersburg

5. Makazi rasmi ya Putin,Kaliningrad Oblast

6. Makazi rasmi ya Putin,Gelenzhik

7. Makazi rasmi ya Putin,Bocharov Creek

8. Makazi ya Putin,Ekaterinburg

9. Makazi ya Putin,mitaa ya Saint Petersburg

10. Majirani zake Putin huko Saint Petersburg wamebana vyumbani humo.

11. Makazi ya Putin,huko Irkutsk Oblast

12. Makazi ya Putin,Siberia kando ya mto Yenisey

13.Makazi ya Putin,Adygeiya
 
Ni vitu vya kawaida sana hivyo siyo lazima watu wawe maskini kama mnavyodhani

Tangu awali ameanzia wapi na nyazifa gani ameshika mpaka kufika alipo ashindwe kumiliki hivyo vidude
Kuna watu huoji mpaka gari analomiliki rais ni akili za kimaskini tu
 
Pensheni za wazee huko Urusi zimeanza kuchelewa,pesa hakuna
 
Sijui tumerogwa hadi ufaham hatuna tena? hivi unawezaje kujibidisha kuleta haya hapa? Basi tuseme ni yake, then?
 
Sijui tumerogwa hadi ufaham hatuna tena? hivi unawezaje kujibidisha kuleta haya hapa? Basi tuseme ni yake, then?
Nawewe umerogwa kusoma huu Uzi?mbona kuna nyuzi nyingi sana?
 
Miaka 18 kwenye uongozi akiwa Rais
Bado biashra zake
Kumbuka ana marafiki kibao ambao wana machimbo ya mafuta huko

Wala usiyashangae majumba hayo mengi ni Ikulu za serikali na akiondoka yanabaki kuwa mali ya serikali

Ila kwa hela na utajiri anao sana tu
Hata bongo mtu anakuwa mbunge na uwaziri miaka zaidi ya 20 sasa huyo akifa masikini ni upumbavu wake tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…