Haya hapa ndio makabira 125 Tz , je we uko namba ngapi hapo

Siwaoni Waberbeig hapo.
Na pia Warombo, Waanjo, Wakibosho, Wamachame na Wamochi.
 
Ambao twasoma comments hatuja tajwa makabila yetu sijui sio wa tz naomba tujuwane ila Mme wangu 86
 
Kule kilimanjaro inajulikana makabila ni mawili tu wachaga na wapare kumbe kuna makabila mengine yapo kule. Kuna wakahe wapo Kahe, kata za kahe mashariki na magharibi. Kuna waarusha wapo kata ya Arusha Chini/TPC na sehemu za mtakuja na mabogini. Kuna wamasai ukanda wa Moshi chini /TPC. Kilimanjaro kuna maeneo yanayojulikana kama uchagani, upareni, uarushani na umasaini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…