Haya hapa ndio makabira 125 Tz , je we uko namba ngapi hapo

Singida inajulikana ni kwa wanyaturu/warimi na wanyiramba ila wanyaturu/warimi ndio wametapakaa karibu wilaya zote za mkoa huo. Wanyiramba wapo kwa wingi wilaya ya iramba na mkalama. Pia kuna makabila mengine kama wanyisanzu huko mkalama pamoja na wahadzabe/watindiga. Kuna wataturu itigi, kuna wagogo manyoni. Bila kuwasahau wasukuma wameshajaa huko itigi na manyoni. Makabila mengine yenye kutafuta fursa za biashara, kilimo na ufugaji nayo tayari wanapatikana mkoani Singida kama ilivyo Dar ya sasa si ya wazaramo na majirani zao pekee tu, dar kuna mpaka mitaa ya kabila fulani kwa wingi wamejenga na kuishi kule. Ila kuna mikoa makabila kwenda kupata ardhi na kuhamia kule ni shughuli pevu. Ardhi zao ni za kimila zaidi, mhamiaji utaishia kupanga tu
 
Hii picha inahusiana vipi na uzi wako mkuu
 
Uongo tu, Wanyantuzu siyo kabila!
 
82. Humu niko peke yangu mkuu maana ndio mnindi wakwanza kuingia mjin
Mnapatikana mkoa gani mkuu? Ni mala ya kwanza kulisikia hili kabila, Wanindi? Nikajua wahindi jamaa labda kakosea kuandika
 
106
 
Ni vema ungeandika na mkoa/wilaya wanayotokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…