habar wana jf?
Uongoz wa chuo cha mahakama lushoto (ija) wamerusha majina hewan kwa wale walioomba kujiunga na mafunzo ya uongozi wa mahakama ktk koz za certificate na diploma. Majina yao yametoka unaweza kutembelea kwenye website yao ya chuo
www.ija.ac.tz.