Elections 2010 Haya..haya! Slaa live on ITV !

Mkulima mimi

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2009
Posts
233
Reaction score
32
Anaanza na mishahara haitoshi! Kazi nzuri itv!Ebo! Kaingia makala kumbe kipindi! Ila kaongoea vema naona kapiga mahesabu ya mshahara wa mfanyakazi unatosha nauli tu! Ametoa na hesabu kabisa ila nilishindwa kumnukuu figure, kawaomba kura wafanyakazi pia polisi na usalama wa taifa bila kuwasahau wastaafu, mwisho kasema watanzania hatuhitaji mapinduzi ya kijeshi! Tarehe 31 october tufanye maamuzi magumu!
 
Ebo! Kaingia makala kumbe kipindi! Ila kaongoea vema naona kapiga mahesabu ya mshahara wa mfanyakazi unatosha nauli tu! Ametoa na hesabu kabisa ila nilishindwa kumnukuu figure, kawaomba kura wafanyakazi pia polisi na usalama wa taifa bila kuwasahau wastaafu, mwisho kasema watanzania hatuhitaji mapinduzi ya kijeshi! Tarehe 31 october tufanye maamuzi magumu!
 
tuwekeeni youtube waungwana uliopata kuinyonya
shukrani
 
AIsee mbona unanivuruga? yupo live au ni kipindi? mimi hiyi tv nimesha itoa kwenye king'amuzi changu
 
AIsee mbona unanivuruga? yupo live au ni kipindi? mimi hiyi tv nimesha itoa kwenye king'amuzi changu

alivyoanza nikajua yupo live maana alikuwa full . Mara akakatizwa akaja makalla, akamalizia wasira ah! Kumbe ni kipindi kipya cha kampeni! Usiifute bana hata saa mbovu mda mwingine inakuwa sahihi japo huwezi hata kuamini kuwa ipo sahihi!
 
mh, mbona mnatuchanganya?

kaka tindikali kweli imekuwa kama mchanganyo ila ukianzisha tundiko naona kama hamna jinsi ya kulifuta! Ila habari ni kama ilivyo hapo juu! Hamna maelezo zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…