kaka mkweli Member Joined Sep 24, 2012 Posts 62 Reaction score 28 Sep 27, 2012 #1 Wapendwa mliochaguliwa mist na ambao mnaendelea na masomo katika chuo hiki tubadilishane uzoefu na mimi ni mwenzenu naja kusoma BBA......... Karibuni uwanja ni wenu
Wapendwa mliochaguliwa mist na ambao mnaendelea na masomo katika chuo hiki tubadilishane uzoefu na mimi ni mwenzenu naja kusoma BBA......... Karibuni uwanja ni wenu
B Budodi12 Member Joined Aug 8, 2011 Posts 48 Reaction score 13 Sep 27, 2012 #2 hongera na karibu sana mkuu.