Haya hayaa taifa stars kazi kwenu nafasi ipo wazi AFCON 2019

Haya hayaa taifa stars kazi kwenu nafasi ipo wazi AFCON 2019

Mugabe one

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2016
Posts
2,327
Reaction score
1,683
MKUTANO wa CAF uliomalizika juzi huko Morocco umepitisha kuanza michuano ijayo 2019 huko CAMEROON kutakuwa na timu 24 ikiwemo taifa star endapo watajituma kucheza kwa bidii kila Siku.

Kuna pendekezo moja limekataliwa ambalo lilitaka kukaribisha timu za nje ya Africa.
Nawaombea wachezaji wetu mapepo ya uzembe uwanjani yatokeeeee kwa jina la Yesu, mapepo ya umalaya, uzinzi,ulevi, yote yatokeeeee kwao kwa jina la Yesu.

MUNGU IBALIKI TANZANIA. MUNGU IBARIKI TAIFA STARS ICHUKUE KOMBE MBELENI.
Aminaaaàà!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Taifa stars hawabebeki tatizo hawajitumi
Ngj tuwaone round hii itakuwaje

Ova
 
Taifa Stars inakatisha tamaa hata kuiangalia inapocheza.

Sijui nani alituroga?
 
hapa hujaeleweka kwa kweli ,"ikiwemo taifa star endapo watajituma kucheza kwa bidii kila siku" , unamaanisha taifa stars itafuzu hayo mashindano ili mradi tu wacheze kwa bidii? kucheza kwa bidii kunapimwa vipi?.
 
Back
Top Bottom