MKUTANO wa CAF uliomalizika juzi huko Morocco umepitisha kuanza michuano ijayo 2019 huko CAMEROON kutakuwa na timu 24 ikiwemo taifa star endapo watajituma kucheza kwa bidii kila Siku.
Kuna pendekezo moja limekataliwa ambalo lilitaka kukaribisha timu za nje ya Africa.
Nawaombea wachezaji wetu mapepo ya uzembe uwanjani yatokeeeee kwa jina la Yesu, mapepo ya umalaya, uzinzi,ulevi, yote yatokeeeee kwao kwa jina la Yesu.
MUNGU IBALIKI TANZANIA. MUNGU IBARIKI TAIFA STARS ICHUKUE KOMBE MBELENI.
Aminaaaàà!
hapa hujaeleweka kwa kweli ,"ikiwemo taifa star endapo watajituma kucheza kwa bidii kila siku" , unamaanisha taifa stars itafuzu hayo mashindano ili mradi tu wacheze kwa bidii? kucheza kwa bidii kunapimwa vipi?.