Haya hii ni Kwa Wadada-TV coming between my husband and me


BrownEye
Umesahau wengine sefu zimo humo humo. Mbaya zaidi wakuu wengine wanaingia na silaha na kuziweka chini ya mto...eti sheria hairuhusu kuiweka mbali...ndoa nyingine sarakasi kweli kwi kwi kwiiiii
 

Laligeni, hiyo ni kweli visa na visasi na kutokujali hisia na kuua kwa mawasiliano katika mahusino vinachangia sana kuua upendo na ndoa matokeo yake ndo mwanzo wa kutafuta vibuyu au nyumba ndogo na mwisho wake ni kilio!
 
Best and only best advice is...... Talk to him about it and see what he has to say,
remember you are married to him so at least you should have the confidence in talking to him and explain what troubles you most. i.e his behavior
 
BrownEye
Umesahau wengine sefu zimo humo humo. Mbaya zaidi wakuu wengine wanaingia na silaha na kuziweka chini ya mto...eti sheria hairuhusu kuiweka mbali...ndoa nyingine sarakasi kweli kwi kwi kwiiiii


Ama kweli sarakasi.

Binafsi najisikia kichefuchefu, watu wazima wanapoona wanaingia msikitini halafu wanangoja hadi waambiwe na shehe kuvua viatu, ukifikiri vizuri utajua tu jamaa hata udhu atakuwa nao kweli?? Bunduki na ndoa ni kama ukiweka bangi na serikali pamoja. ukizungumzia kuweka chini ya mto hapo ndio kabisaaa unanichanganya
 

Ushauri wako mbovu sana. Tena sana
 

Msituaribie ndoa zetu jamani, sisi twawabembeleza wa kwetu, kuku na njiwa wanabembeleza itakuwa sisi?? behaviour yoyote anayoonyesha mwanadamu ni matokeo, sio vizuri kujudge kwa matokeo tujaribu kuinuana kwenye mapenzi, sasa kama kila mtu ataonyesha ubabe tutaishia kusoma habari za talaka kweny magazeti mpaka tutasahau ufisadi.
 
I think you need to know your patner's interest and accomodate yourself accordingly.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…