Sajenti
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 3,651
- 413
Wanajf mwenzenu nikiwa katika maeneo ya 6x6 kuna vijimambo huwa vinanikera sana kiasi hufikia hatua ya kupoteza hata appetite ya kupiga mechi. Nikikutana na msichana au mwanamke mwenye kaharufu ka mdomo, jasho, anafumba macho muda wote wa mechi,nikipiga bao anaharakisha kutafuta kufuli yake ili awahi kuondoka au anataka kumegana wakati wa giza tu (hapendi mwanga) kwa kweli naweza kumfuta katika mahusiano na nisimtafute tena....Ni mtazamo wangu tu.