mchajikobe
JF-Expert Member
- Aug 14, 2009
- 2,661
- 1,267
jamani punguzeni bhangi,kichwa cha habari na habari yenyewe ni vituko tuu,mkimaliza kulivuta muwe mnalala kidogo.Jamani wana JF,tumeshafuatilia sana issue ambazo zina utata likiwemo tukio zima la ajali ya muheshimiwa mbunge Muzihir,lakini bado hatujapata ukweli wake,sasa kama kuna mdau yeyote ambaye anazo picha za kaburi,au mazishi ya Balali aziweke humu JF ili aondoe utata unaojitokeza.
lakini kama ni bhangi , hiyo ni banghi gani ?jamani punguzeni bhangi,kichwa cha habari na habari yenyewe ni vituko tuu,mkimaliza kulivuta muwe mnalala kidogo.
yeye ameuliza au amesema kama vile hizo picha anazo ameziweka??si makosa kuuliza inabidi arekebishe kichwa cha habari asionekane chizi.lakini kama ni bhangi , hiyo ni banghi gani ?
kwani kuna ubaya kuulizia kaburi la balali lilipo ? mbona tunajua kaburi la nyerere lilipo..kaburi la sokoine, sivibaya kuona hata picha za kaburi la gavana wetu huyo.
mbona picha za kaburi la gavana marehemu Rutihinda unaweza ku[piga pale buguruni.
Umu kuna shabiki kibao hambao hawako makini jamaa kauliza swali la msingi sana.
Kwanini kaburi la balali lisionwe? kwanini iwe SIRI?