Haya Jamani Mwali katoka

Ashura9

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2012
Posts
740
Reaction score
485
Haya Jamani Ndio Mwali Kigego Huyo



Yanga2-0 Simba
Hatimaye Bibi Harusi Kaolewa.Walijiamini sana kupata ushindi katika mechi sita zilizopita lakini wakasahau hata kabla ya mechi ya septemba 26, walikuwa wameshinda mech3 mfululizo, lakini tukawatibulia kwa kuwachapa 2-0 kama leo.Hivyo tayari tushawapa laana sijui watakuwa na mwenendo katika mechi zijazo.
 
Hao wajipange msimu ujao wajue kuna maisha baada ya kufungwa na dar young africans.
 
Mwali amemeza pain killer maana amevurugwa usiku kucha bila huruma.
 
Kiukweli mwali halipi ila kwasababu tumeoa hatuna budi kukomaa nae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…