Baada ya viwiki kadhaa wadau wa mpira kuukosa uhondo wa ligi mbali mbali kama laliga, NBC ligi 1 na nyinginezo duniani, hatimaye burudani zimerejea EPL on air leo Mancity vs liverpool yaani ni unyama unyamani🙂, haka kamechi kanakuhitaji upate chimbo moja hivi tulivu upate moja baridi moja......😂, harafu sasa ili kufaidi zaidi zama Sokabet, Parimach, Mbet au popote unapopaona wewe, tengeneza kajamvi fulani hivi kauchokozi sio lazima uweke ushindi weka hata umiliki tu wa mpira au Kona hapo utakuwa umetisha hakika Utanishukuru baadaye... it's flydei