Simpendi huyu mtoto anayetangaza hiki kipindi!! Mketema anajiona anajiona anajua kuliko anavyojua.....!!!
mdau wa lulu, fanya kazi bana, achana na huyu binti, je kama alikuwa amelewa wakati anahojiwa hapa? acha uvivu wa kufikiri, chapa kaziVitu kama hivi lazima vipelekwe mahakamani ili kuhakikisha baadhi ya issues katika kesi ya Bi Lulu.
Ukichoka unapumzika sio lazima ufungue kila thread.
Vitu kama hivi lazima vipelekwe mahakamani ili kuhakikisha baadhi ya issues katika kesi ya Bi Lulu.