Haya maandishi ya kwenye nguo sasa yamepitiliza.

Haya maandishi ya kwenye nguo sasa yamepitiliza.

yaser

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
1,361
Reaction score
299
hivyo inakuaje mtu mzima unavaa tshirt kifuani ina maandishi makubwa kabisa ya IM PORN STAR ....Dah mi sion poa kabisa.
 
Hajui maana yake huyo. Mbona wengi wanavaa tshirt zenye maandishi ya ajabu!! Jana nimeona mtu kavaa tshirt ya wafungwa ulaya!!! Imeandikwa kabisa prison.
hivyo inakuaje mtu mzima unavaa tshirt kifuani ina maandishi makubwa kabisa ya IM PORN STAR ....Dah mi sion poa kabisa.
 
mimi kuna moja niliona imeandikwa ''Masturbation is not a crime'
 
Mimi ninarafiki yangu alinunua yenye chata ya play Boy(kichwa cha sungura),hii kampuni inahusika na mambo ya erotic,porn.
Nilimkanya na akaacha,waelewesheni huenda hawajui maana ya walicho vaa.
 
Kuna mwingine ilikuwa imeandikwa ' I SEE STUPID PEOPLE READING THIS T-SHIRT
 
attachment.php

Jamani ni kweli maandishi mengine yanakera, niliwahi kuona kijana mmoja kavaa T-shirt imeandikwa IM PREGNANT IM NOT STUPID
 
nakumbuka akat nipo form two jamaa akaja kanisan na t shirt black ina maandish white. imeandikwa "I’M A WITCH"
 
Kuna mwingine ilikuwa imeandikwa ' I SEE STUPID PEOPLE READING THIS T-SHIRT

hahaha, naona huyu mvaaji alijua nn ananunua na kaivaa makusud, sasa apo awe asome ding, boss wake au ticha. atakua na kimeo, lzm wammind
 
Kuna dada nilikutana naye t-shirt yake ina maneno I'M LOOKING 4 A RIGHT HUSBAND.
 
Kuna dogo nilimuona amevaa t-shirt imeandikwa the big dick halafu kuna mchoro kabisa ingawa hauonekani clear sana!Nadhani hili lifuatiliwe aisee imekuwa too much!
 
hahaha, naona huyu mvaaji alijua nn ananunua na kaivaa makusud, sasa apo awe asome ding, boss wake au ticha. atakua na kimeo, lzm wammind

wale wenye tabia ya kusomasoma maandishi kwenye tshirts atakuwa amewakomesha!
 
Nyingine alikuwa amevaa mwanamke ikisomeka hivi "I DIDN'T COME FROM YOUR RIBS BUT YOU COME FROM MY V***N*
 
Back
Top Bottom