kuna namba huwa zinawekwa kwenye mabasi za wakuu wa polisi hebu piga mkuu, au huu utaratibu upo mabasi ya mbeya tuu!?
Mabasi ya mafisadi au ya wenye uhusiano nao huwa hayakamatwi ndugu yangu! We omba Mungu tu muweze kufika salama! Bon Voyage!
Dah..! Poleni sana ndio usafiri wetu huo. Trafiki wao wanakusanya pesa tu barabaraniMkuu huwezi amini wameweka mafuta Babati tumefika Miserani Gari imezima mara hao sheli na dumu la lita 20 hapa limegoma kuwaka wanahangaika! Mungu tujalie tufike salama
kama upo meserani tayari umeshafika.....shuka kamata kifodi njoo mjini....siku nyingine ukiona gari limejaa sana usipande.....azawais weka namba ya gari tukusaidie msaada wa kipolisi.....