Kulitokea suala la Umeme tukaambiwa na wajuzi wa Mambo kwa ilikuwa ni matter of time bomu hilo kulipuka kwa hiyo shida kutokea ni matatizo ya Awamu ya Tano.
Kukatokea suala la ugumu wa Maisha na vitu kupanda Bei tukambiwa hivyo hivyo na kuongeza kwamba bwana Yule hakuacha pesa Hazina ila baadae ikasingiziwa vita ya Ukraine.
Suala la Ajira ni sababu zile zile.
Na mambo mengine mengi
Mikopo ya masharti Magumu majibu ni Yale yale.
Hivi Huyu Shujaa hakujua kuwa ataendelea kutawala miaka mitano mingine ?