Ktk point za kihayawani kuwahi kuskia ni hili la kutoacha pesa Hazina.
1. Kwani alipokufa serikali iliacha kukusanya kodi?
From 800b to 1.6T ya makusanyo per month bado mnasema hakuacha pesa? Ht km hakuacha pesa then aliiwaachia mfumo wa kuikusanya. Amefariki 17th..means, atleast they got a half ya makusanyo.
2. Hizi $5B equvalent to 11T km akiba ya fedha za kigeni zilizopo BOT ni kwamba zilikusanywa Overnight baada ya mama kuingia?
Hii inchi ina vichwa maji wengi sana...we need to overhaul our education systems.