Hayo utakuwa ulinunua ukiwa safarini.
Nimachungwa makubwa af ndani makavu ilishanikuta hiyo stendi ya Msamvu. nilinunua zaidi ya kumi nikaja yatupa home.
kifupi Nilibebeshwa taka toka moro kuja kuzitupia temeke.