Haya madai ya tabia za ajabu za Wapare za kutembea na ndugu na binti zao ina ukweli?

Kuna mtaa niliishi kulikuwa na Mzee wa Kipare ambayo alisemekana alikuwa anamtafuna binti yake mkubwa Kwa mujibu wa wapangaji wa huyo Mzee. Inawezekana kuna jambo juu ya hii dhana.
 
kama wataniondoa kwenye kabila poa tu. kuna ukweli mmoja tu ninaoweza kuamini, ile kuacha mke home, unaenda kutafuta maisha mkoa x, unakaa huko hata miaka 5. babamkwe kupitia inawezekana. pia kwa maagano ya kichawi, makabila mengi tu hula binti zao na kulala na mama zao. pia, kwa wapare na wachaga kwasababu familia huwa na muunganiko mkubwa, ukoo upo pamoja, vikao vingi, watoto wanakuwa na umoja sana kiukoo, watu wowote wale wakiwa pamoja muda mwingi mwingi kuingiliana kimwili inatarajiwa kama hawatakuwa makini.

ila kitu ambacho naogopa kukisema hapa, ni siri kubwa sana kwenye misiba, ile tunaendaga kuzika home, wachaga hukamua viuchafu fulani na kuchanganya kwenye supu au msosi ili watu wengi wakila inasemekana laana ya kifo itakuwa imegawanywa kwa watu wengiii na kama imegawanya kwa maelfu basi kwenye familia ile itakuwa imepunguzwa sana hivyo hawatakuwa wanakufa kindezi tena. ni mahesabu tu, sawa na una mkate mmoja watu wengi wakaja kuumega unabaki kidogo.

kwa mchaga wa kweli, anayemhofu Mungu, hili huwa hawezi kulitamka, ila utamsikia tu anasema mimi sitaki mila na hata akienda huko anakwepa kushiriki haya na mengine mengi ya kimaagano yapo, tutayafichua.

kwa wapare, kwasababu ya ushirikina mwingi, kuingiliana kimwili inaweza kuwa kwasababu za kichawi. upareni uchawi kitu cha kawaida sana. hata hawa wapo mjini akipata shida utakuta anasema anataka kupiga simu home, anapiga simu na wanafanya uchawi yeye yupo mjini. mwogopeni Mungu.
 
Aisee hii dunia!!!
Yan unachoka kabisaa haya mambo ukiyasikia
 
Yap technically hakuna kabila la wachaga bali kuna makabila mengi yaliyoathiriana ki mila na kilugha kama vile huonavyo walivyoathiriana wanyamwezi na wasukuma na wanyaturu
 
Tabia za kishenzi zipo kwenye kila kabila, hiyo kitu nliona kwa wanyamwezi tena familia mbili tofauti tofauti baba anamtafuna mwanae hadi mimba. Sasa utagundua sio Wapare wote wenye tabia hyo au wanyamwezi wote wenye tabia hyo au labda waha hamna wenye tabia hyo.
 
Hiyo ni tabia ya kabila au mtu! Mimi Nina wafahamu 2 walihisuwa kufanya hayo mambo....mmoja Msukuma ,mwingine Mnyiramba!
 
Yap technically hakuna kabila la wachaga bali kuna makabila mengi yaliyoathiriana ki mila na kilugha kama vile huonavyo walivyoathiriana wanyamwezi na wasukuma na wanyaturu
Du ,Wanyaturu?!😁
 
Uwii uwiii !!!!! mama yangu leo umenifungua macho kumbe ndio wanavyofanya hivi? mama yangu sa sijui tunaoendaga misibani tumepunguziwa aslimia ngapi kwa ulimbukeni wetu wa kujifanya wema saana? nimekomaaa baba asante sirudii tena, kumbe ndio maana utakuta watu wengine hawali misibani kwa watu halafu utakuta wanasemwa vibaya eti wanaringa kumbe wale hawalingi bali ni wajanja
 
Ubarikiwe saana bro kwa kutufunulia hili watu wana roho mbaya saana umenifunza siri teena wala sinywi misibani yaani mtu unathubutu kulipa jema ulilofanyiwa kwa baya? ama kwa hakika hayo ni mafundisho ya shetani
 
Hiyo sio tabia... Ni laana...

Kama kuna mzee alietangulia akafanya jambo hilo bhas kinakuwa ni kitu cha kujirudia... Wanaridhishana hiyo laana... Hadi pale nuru itakapo ingia na kuvunja hiyo chain kuanzia uzao uliotangulia.

Ni kwa kila kabila hiyo... Kama ilivyo kuna magonjwa ya kurithi... Pia kuna tabia za kurithi... Tuwe makini na jamii tunazotengamana nazo... Ni kuji peleka kwenye vifungo ambavyo kutoka kwake sio jambo jepesi/rahisi
 
Hiyo ni tabia ya kabila au mtu! Mimi Nina wafahamu 2 walihisuwa kufanya hayo mambo....mmoja Msukuma ,mwingine Mnyiramba!
Binafsi nilivyosikiaga ilikuwa ni mila yao huko upareni na nilikuwa naipuuzaga kuwa ni uzushi tu mbaka nilipokutana na hao watu watatu waliokuwa wanakula biti zao wote ni wapare ndio nikasema inawezekana kile nilichokuwa naambiwaga kinaweza kuwa na ukweli ila sikatai pia suala la tabia ya mtu binafsi
 
aisee we umeongea pointi kweli hawa madem zetu wa kuwarukia rukia tu huku mitaani unakuja kurukia bonge la demu we hujui kumbe kwao wana ifungo na laana na mbaya zaidi ukizaa nae watoto wanakuja na baadhi ya vifungo ya kurithi vya laana tatizo hapa ni wewe baba uliyekurupuka kwa njaa na uroho wako wa ngono
 
Hiyo ni tabia ya kabila au mtu! Mimi Nina wafahamu 2 walihisuwa kufanya hayo mambo....mmoja Msukuma ,mwingine Mnyiramba!
Niliwahi kuon kwa macho nilivyo kuwa mdogo kwa Mhaya Baba na bint yake baady kaka naye akaja kupita kwa dada yake.

Nikaja kusikia pia kwa Msambaa anakula bint yake.

Hapa nilipo Mgogo kazaa na binti yake kabisa .
Mgogo mwingine tajir ng'ombe naye ni jiran anapita na binti zake na hataki waolewe.

Mzee wa kinguu ni mganga nae anakula mabinti zake wote wa nne mpk na wajukuu zake na mtaa mzima wanajua maana wajukuu zake wanaongea wazi tu kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…