Uwii uwiii !!!!! mama yangu leo umenifungua macho kumbe ndio wanavyofanya hivi? mama yangu sa sijui tunaoendaga misibani tumepunguziwa aslimia ngapi kwa ulimbukeni wetu wa kujifanya wema saana? nimekomaaa baba asante sirudii tena, kumbe ndio maana utakuta watu wengine hawali misibani kwa watu halafu utakuta wanasemwa vibaya eti wanaringa kumbe wale hawalingi bali ni wajanja