Haya madini yanaitwaje?

Haya madini yanaitwaje?

Sultan Kipingo

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2013
Posts
238
Reaction score
178
Wakuu naomba kujua haya ni aina gani ya madini (jina lake) na pia yanauzwa bei gani kwa gram?
 

Attachments

  • IMG-20150108-WA0023.jpg
    IMG-20150108-WA0023.jpg
    298.7 KB · Views: 236
  • IMG_20150113_165344.jpg
    IMG_20150113_165344.jpg
    699.2 KB · Views: 255
Hayo yanaitwa Quartz (iyo rangi ya blue inafanya quartz iitwe amethyst, na kama kuna black colour inafanya quartz iitwe smoke quartz)..upande wa biashara haiuzi kwa gram, hii inauzwa kwa kilo kadhaa mpaka tani na itategemea na shape yake ilivyo kwanza...bei ya sokoni kwa sasa tembelea kariakoo dar es salaam kwenye lile jengo la soko ulizia wapi kuna ofisi ya kununua mawe then utapata maelezo mazuri ya bei ya soko kwa sasa..
 
Haya mawe ya thamanikutoka mshimoni bado kidogo tu itakuwa Historia.
Watu wamesha tengeneza Artificial Diamond za Jewely level, miaka 20 ijayo mitambo ndiyo itakuwa inatoa mawe si mashimo.
 
Ukaulizie vibaka wa kariakoo si watamkaba hapo hapo kabla hata hawajaona madini yenyewe mkuu tehe
 
Back
Top Bottom