Hayo yanaitwa Quartz (iyo rangi ya blue inafanya quartz iitwe amethyst, na kama kuna black colour inafanya quartz iitwe smoke quartz)..upande wa biashara haiuzi kwa gram, hii inauzwa kwa kilo kadhaa mpaka tani na itategemea na shape yake ilivyo kwanza...bei ya sokoni kwa sasa tembelea kariakoo dar es salaam kwenye lile jengo la soko ulizia wapi kuna ofisi ya kununua mawe then utapata maelezo mazuri ya bei ya soko kwa sasa..