Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,319
- 6,878
Sawa ngoja tuwasikilizeNgoja waje
Wanasema vyeti vitatolewa chini ya chuo cha serikaliNi njia tu ya kukusanya pesa kwa taasisi zinazotoa hayo mafunzo
Una maana gani naomba ushauri mkuuTia maji tia maji
Nenda veta ndo pa zuri kama una malengo ya kuwa dereva vyuo vya mtaani kama una gari binafsi sawaUna maana gani naomba ushauri mkuu
Nashukuru sana mkuuNenda veta ndo pa zuri kama una malengo ya kuwa dereva vyuo vya mtaani kama una gari binafsi sawa
Pole sana shida nini?Uwongo hayo kabisa
Toka leseni yangu ime expire sija renew mwaka sasa
uvivue tu mkuu, na kusahahuPole sana shida nini?
Ushauri mzuri sana ahsante sanaNjia rafiki ya kufuzu mafunzo ya Udereva ni kwenda Veta mkuu.
Wewe ni ile aina ya watu wajuajiDuh
Unataka kujifunza kuendesha gari mwezi mzima?
Kwanza ilitakiwa kuwa wiki moja tu inatosha
Sasa wewe una leseni tayari, ina maana unajua kuendesha, unataka kukaa mwezi darasani ?Wewe ni ile aina ya watu wajuaji
Aliekuambia kama mimi ninajua kuendesha gari nani? Ndio maana nakuambia acha ukuaji MkuuSasa wewe una leseni tayari, ina maana unajua kuendesha, unataka kukaa mwezi darasani ?
Ngoja nikupe uelewo kwenye nchi za watu wanavyofanya
Na hii kwa wale hata hawajawahi kuendesha gari
Kuna kuwa na mitihani miwili, wa kwanza ni Theory, unatakiwa kujifunza mwenyewe binafsi , kutumia kitabu, unasoma sheria zote za barabarani, halafu unafanya mtihani
Ukipasi, ndio unaruhusiwa kufanya mtihani wa practical, yaani kuendesha,
Unaenda hivyo vyuo, unawaambia mimi nina hela ya masomo ya siku saba(wiki) au siku 14(wiki mbili)
Hapo ni mafunzo ya kuendesha tu, zinatosha sana, halafu unaenda kutestiwa, kwani bongo wanatestiwa vipi, au ukipita huko moja kwa moja unapewa leseni bila majaribio na wakufunzi wa serikali?
Basi kama ni mnapewa tu leseni kutoka huko, mtatuua
Sahihi mkuu ila issue sio cheti issue naona ni kupata umahiriCheti unapewa baada ya siku 30