Haya magari ya innoson, vipi ubora wake?

Haya magari ya innoson, vipi ubora wake?

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Hii gari inatengenezwa Nigeria na kampuni ya Innoson Group of Companies, kwa muonekano wake naona liko vizuri; vipi yalishaanza kuingia hapa nchini?
Ubora wake ukoje?
innoson.jpg
 
Back
Top Bottom