hayo magari ndio wanayo wanyang'anya walala hoi kwa kodi za ajabu bandarini + storage charges. Watu wakisusa ndio wanauza kwa unafuu mara nyingi mazuri huwa wanajiuzia wenyewe kwa mujibu wa wahusika (walio dhulumiwa) na hawa wahuni tena kama wanajipa bure na kulipa taifa hasara.
Si ajabu watu wanahamua kuwaletea mikweche kwa sababu ya ushuru wa jabu if im honest wa kukomoana.
mkuu shukrani kwa taarifa hii, nami ngoja nijikongoje mnada ujao. itakuwa lini mkuu mnada ujao na huwa unafanyikia wapi na je ni ruksa kwenda kukagua kabla ya siku ya mnada na jee ni vipi kuhusu ushuru na mazagazaga mengine?haya magari yanakuwa kwenye ubora sana kwani ni mapya kabisa watu wanakuwa wameshindwa kulipa ushuru au watu wanacheza mchezo akitajiwa ushuru mkubwa+storage wanachofanya wanacheza dili linaingizwa kwenye mnada kisha anakuja kununua kwa bei poa kabisa ya kupanga mezani na pia wateja wakubwa ni wahindi na wenye mashow room ndio wanunuzi wakubwa yale yolochoka sana ndio ukienda utayakuta mengine utakuta yameshabandikwa sold siku ya mnada na ukiwa na mtu pale unapanga bei unachagua kabla ya siku ya mnada
mkuu shukrani kwa taarifa hii, nami ngoja nijikongoje mnada ujao. itakuwa lini mkuu mnada ujao na huwa unafanyikia wapi na je ni ruksa kwenda kukagua kabla ya siku ya mnada na jee ni vipi kuhusu ushuru na mazagazaga mengine?
thanks mkuumnada hujao utakuwa mwisho wa mwezi huu unafanyikia kule bandarini ,kukagua kabla ya mnada mpaka uwe na m2 wa kukushika mkono, ukishanunua umemaliza akuna ushuru kwani hyo bei unayouziwa inakuwa na kila kitu ata ukiuziwa 2m
TRA ni sababu kubwa ya watu kutotoa magari yao na kuyatelekeza. Huwa wanachelewesha kwa makusudi kuwapatia watu tax liabilities zao ili walipe na kutoa mizigo kwa kula dili na watu wa storage nao wapate chao I think TICTS. Sasa inapotokea mtu anataka kutoa mzigo wake(Including gari) on time wanamzunguusha sana,.
.... Tanzania tunahitaji reform ya hali ya juu kwenye sheria za forodha.
Kwa kuwa bunge letu ni rubber stamp ila kama ingekuwa nchi za kidemokrasia mtu unapeleka muswada binafsi wa kutaka mtu aanze kuwa charged storage siku tano za kazi baada ya kukabidhiwa Tax liability estimate na kusign kuwa kaipata toka TRA. Hii itawafanya TRA kufanya kazi kwa kasi ya ajabu na bila urasimu hata kama watamchelewesha mtu kwa mwaka haitakuwa tatizo. Ila hii minada tunayoinona ni abuse ya sheria za ushuru wa forodha.
mwanatanu; [FONT="Tahoma" said:Ukiangalia bunge letu la leo ni la kibiashara tu....Nimejiuliza kwa nini mbunge antumia mamilioni ya pesa ili apate ubunge?...Jibu ni kuwa zile pela ni investment ambayo ina high returns...kwa hiyo baada ya miaka mitano huyo mbunge anahakikisha amerudisha gharama zake na faida maradufu.
Kwa hiyo saa ngapi atakuwa na muda wa kutuangalia siye tuliyempa hio kazi? Mpaka hapo tutakapo pata viongozi,watumishi wenye maadili ya kazi na siyo ubinafsi.[/FONT]
jamani hii CCM ni lini tu Mungu itaondoka madarakani< really! its painfull to watch this! very sad!
mnada hujao utakuwa mwisho wa mwezi huu unafanyikia kule bandarini ,kukagua kabla ya mnada mpaka uwe na m2 wa kukushika mkono, ukishanunua umemaliza akuna ushuru kwani hyo bei unayouziwa inakuwa na kila kitu ata ukiuziwa 2m