Mwanongwa JF-Expert Member Joined Feb 15, 2023 Posts 611 Reaction score 567 Oct 22, 2024 #1 Leo kulikuwa na mchezo wa ligi kuu kati ya Tanzania Prisons dhidi ya Simba katika dimba la Sokoine. Kitu Cha tofauti katika uwanja huo na viwanja vingine ni kuwa utaratibu wa Sokoine stadium magari yanaruhusiwa kuingia ndani ya uwanja Tazama magari hayo ya polisi yalivyo mengi. Hivi hawawezi kuyapaki nje ya uwanja. Soma Pia: Full Time Tanzania Prisons 0 - 1 Simba SC | NBC Premierleague | Sokoine Mbeya | Oktoba 22, 2024 Attachments DSC_0067.JPG 1.1 MB · Views: 3
Leo kulikuwa na mchezo wa ligi kuu kati ya Tanzania Prisons dhidi ya Simba katika dimba la Sokoine. Kitu Cha tofauti katika uwanja huo na viwanja vingine ni kuwa utaratibu wa Sokoine stadium magari yanaruhusiwa kuingia ndani ya uwanja Tazama magari hayo ya polisi yalivyo mengi. Hivi hawawezi kuyapaki nje ya uwanja. Soma Pia: Full Time Tanzania Prisons 0 - 1 Simba SC | NBC Premierleague | Sokoine Mbeya | Oktoba 22, 2024
Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 24,606 Reaction score 39,289 Oct 22, 2024 #2 Walidhani mtawafanyia vurugu wachezaji na benchi la ufundi kwa ujumla
Vishu Mtata JF-Expert Member Joined Dec 15, 2019 Posts 15,954 Reaction score 35,415 Oct 22, 2024 #3 Vichwa vya wanambeya ni kukaa navyo standby, hawachelewi kuliamsha. Wakampa kichapo Camara na mfungaji mwenzie wa derby
Vichwa vya wanambeya ni kukaa navyo standby, hawachelewi kuliamsha. Wakampa kichapo Camara na mfungaji mwenzie wa derby
Mwanongwa JF-Expert Member Joined Feb 15, 2023 Posts 611 Reaction score 567 Oct 22, 2024 Thread starter #4 Hhahaha
Mwanongwa JF-Expert Member Joined Feb 15, 2023 Posts 611 Reaction score 567 Oct 22, 2024 Thread starter #5 Vishu Mtata said: Vichwa vya wanambeya ni kukaa navyo standby, hawachelewi kuliamsha. Wakampa kichapo Camara na mfungaji mwenzie wa derby Click to expand... Changamoto kubwa sana ni uwanja huu ndiyo unaruhusu magari kuingia
Vishu Mtata said: Vichwa vya wanambeya ni kukaa navyo standby, hawachelewi kuliamsha. Wakampa kichapo Camara na mfungaji mwenzie wa derby Click to expand... Changamoto kubwa sana ni uwanja huu ndiyo unaruhusu magari kuingia
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 16,096 Reaction score 49,651 Oct 22, 2024 #6 Kikosi cha Kutuliza Ghasia au maarufu Kwa jina la FFU Wameona waimarishe Ulinzi baada kuona Zuchu alitupiwa makopo ya Chupa za Maji last time hapo hapo Mbeya 😜
Kikosi cha Kutuliza Ghasia au maarufu Kwa jina la FFU Wameona waimarishe Ulinzi baada kuona Zuchu alitupiwa makopo ya Chupa za Maji last time hapo hapo Mbeya 😜