Haya magazeti yanamuonea Magufuli au ndivyo ilivyo

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Gazeti limeandika na kuanika kwenye kichwa cha habari kwamba Magufuli akutana ikulu na wabakaji wa watoto walioachiwa kutoka kwenye magereza. Hivi hawa jamaa walibaka hao watoto wa umri wa miaka sita au ilikua uonevu, na kama kweli walibaka, nini kilipelekea hadi wakapewa msamaha wa rais na kualikwa ikulu.

Taarifa kama hizi ningezipuuza kama zingeangazwa na yale magazeti ya Kishilawadu, lakini hili la The East African huwa naliheshimu, sijaelewa mbona watumiea maneno makali hivi kumuanika rais wa Tanzania.
----------------------------------------------------------------------

NGUZA.jpg

The Nguzas and President John Magufuli (centre) at State House Dar es Salaam on January 2, 2018. PHOTO | NMG

Tanzania’s President John Magufuli on Tuesday met with two musicians, who had been serving life sentences for raping girls, at State House in Dar es Salaam.

Viking Nguza and his son Johnson Nguza had paid a call to the President to thank him for granting them clemency.

The two singers were among 61 convicts who were pardoned by the President during Tanzania’s Independence day fete on December 9, 2017.

They had spent 13 years behind bars for raping 10 primary school girls, aged between six and eight years, in 2003. Viking, popularly known as Babu Seya and Johnson (Papii Kocha) were convicted of the crimes in June 25, 2004 and sentenced to life in jail.

While visiting with President Magufuli, the Nguzas pledged to be good citizens.

"Since we were released we wanted to meet you so that we could thank you in person and today it is a dream come true," Babu Seya told the President.

“I thank you so much for forgiveness and now I am ready to work hard,” he added.

On his part, the President thanked the Nguza family for paying him a visit. The two had been accompanied by two other family members, Francis Nguza and Nguza Mbangu.
“You shouldn’t thank me rather you should thank God, who is the only one with the power to forgive,” the President told them.
“Now you have to work hard and follow God,” he said.

The release of the Nguzas has been condemned by children rights activists.

Magufuli meets pardoned child rapists
 
Historia ya kuwa walibaka haiwezi kufutika. Maadam wametubu na kujutia makosa yao, katiba inampa Rais mamlaka ya kubatilisha hukumu kwa kutoa msamaha...
Binadamu wote tuna makosa na mbele ya kiti cha hukumu tutahukumiwa. Japo wote ni watenda dhambi kuna watakao samehewa na kuruhusiwa kuingia mbinguni kwa Mungu Baba lakini pia kuna ambao hawatasamehewa na hivyo kwenda kuchomwa motoni milele na milele!
 
Historia ya kuwa walibaka haiwezi kufutika. Maadam wametubu na kujutia makosa yao, katiba inampa mamlaka Rais ya kubatilisha hukumu kwa kutoa msamaha...

Safi mkuu
 
Kama kuna ushahidi kwamba kweli walibaka watoto wa umri wa miaka sita na nane hilo halisahemeki, labda siku ya hukumu ya Mungu lakini sio ya hapa duniani. Yaani hao ni wa kuozea kwenye jela mpaka wafe. Japo nimesema kama kuna ushahidi, isije kuwa kulikua na kizungumkuti cha kuwaonea hao jamaa. Labda jamaa hawakufanya hicho kitu, iwe kuna mtu aliwacheza na kuwambambikizia, maana nategemea hadi rais afikie kuwapa msamaha lazima usalama wa taifa walichunguza kwa kina.

Kuna makosa ya kusamehe, hata wauaji husamehewa, lakini walawiti wa watoto wadogo, bora ufie jela.
 
Mmoja wa majaji waliohusika na hukumu hiyo (Thomas Mihayo) na ambaye alishawahi kuwa Rais wa chama cha Wanasheria Tanganyika, akiwa amestaafu aliulizwa na Mwandishi na akajibu kuwa Watu wanaona wameonewa lakini ni kwa sababu hawakupata fursa ya kuona ushahidi.

Alisema ushahidi ulikuwa mzito sana. Nasikia kuna Jaji mmoja Mwanamke mwanzo wa kesi baada ya kuona ushahidi wa picha toka kwa Daktari aliyewafanyia uchunguzi Watoto wale aliamua kujitoa. Nafikiri kama Mwanamke aliumia sana na akaona pengine anaweza akatoa hukumu yake kwa kusukumwa na emotions
 
“I thank you so much for forgiveness and now I am ready to work hard,” he added. Nadhani wanakubali kuwa wamesamehewa, anakubali kuwa kasamehewa maana yake kulikuwa na kosa. Kwa kuwa imetoka midomoni mwao najikuta naamini kuwa wanakubali walikosa. Nadhani ingekuwa vinginevyo wangesema 'Tunashukuru kwa kutuachia toka jela' na sio 'Tunashukuru kwa kutusamehe'.
 
Some of Tanzanians knows about this case...
kwanza kulikua hakuna shahidi mwenye clarified proof, hata wakili wa walalamika walikua hawana clarified proof

Kulikua na the huge massive blunder behind this case and many of Tanzanians knows that, issue ya wao kusamehewa was indeed kitambo tuu ila tuu the past president alikua na fukunyuku lake
 
Gazeti limeandika na kuanika kwenye kichwa cha habari kwamba Magufuli akutana ikulu na wabakaji wa watoto walioachiwa kutoka kwenye magereza. Hivi hawa jamaa walibaka hao watoto wa umri wa miaka sita au ilikua uonevu, na kama kweli walibaka, nini kilipelekea hadi wakapewa msamaha wa rais na kualikwa ikulu.

Taarifa kama hizi ningezipuuza kama zingeangazwa na yale magazeti ya Kishilawadu, lakini hili la The East African huwa naliheshimu, sijaelewa mbona watumiea maneno makali hivi kumuanika rais wa Tanzania.
----------------------------------------------------------------------

NGUZA.jpg

The Nguzas and President John Magufuli (centre) at State House Dar es Salaam on January 2, 2018. PHOTO | NMG

Tanzania’s President John Magufuli on Tuesday met with two musicians, who had been serving life sentences for raping girls, at State House in Dar es Salaam.

Viking Nguza and his son Johnson Nguza had paid a call to the President to thank him for granting them clemency.

The two singers were among 61 convicts who were pardoned by the President during Tanzania’s Independence day fete on December 9, 2017.

They had spent 13 years behind bars for raping 10 primary school girls, aged between six and eight years, in 2003. Viking, popularly known as Babu Seya and Johnson (Papii Kocha) were convicted of the crimes in June 25, 2004 and sentenced to life in jail.

While visiting with President Magufuli, the Nguzas pledged to be good citizens.

"Since we were released we wanted to meet you so that we could thank you in person and today it is a dream come true," Babu Seya told the President.

“I thank you so much for forgiveness and now I am ready to work hard,” he added.

On his part, the President thanked the Nguza family for paying him a visit. The two had been accompanied by two other family members, Francis Nguza and Nguza Mbangu.
“You shouldn’t thank me rather you should thank God, who is the only one with the power to forgive,” the President told them.
“Now you have to work hard and follow God,” he said.

The release of the Nguzas has been condemned by children rights activists.

Magufuli meets pardoned child rapists
Wameachiwa ili wamfanyie Kampeni yakubaki mamlakani
 
cha maneno ya unazi, unadhani wazazi wa watoto wanajisikiaje? Angelibakwa mtoto wako, mama yako, dada yako, shangazi ungelijisikiaje? Tafakari pande zote
 
ndo uandishi wa habari wa kibongo huo ndugu yangu....
 
Kama kuna ushahidi kwamba kweli walibaka watoto wa umri wa miaka sita na nane hilo halisahemeki, labda siku ya hukumu ya Mungu lakini sio ya hapa duniani. Yaani hao ni wa kuozea kwenye jela mpaka wafe. Japo nimesema kama kuna ushahidi, isije kuwa kulikua na kizungumkuti cha kuwaonea hao jamaa. Labda jamaa hawakufanya hicho kitu, iwe kuna mtu aliwacheza na kuwambambikizia, maana nategemea hadi rais afikie kuwapa msamaha lazima usalama wa taifa walichunguza kwa kina.

Kuna makosa ya kusamehe, hata wauaji husamehewa, lakini walawiti wa watoto wadogo, bora ufie jela.
Na asiye na dhambi awe wa kwanza kutupa jiwe..
 
Mmoja wa majaji waliohusika na hukumu hiyo (Thomas Mihayo) na ambaye alishawahi kuwa Rais wa chama cha Wanasheria Tanganyika, akiwa amestaafu aliulizwa na Mwandishi na akajibu kuwa Watu wanaona wameonewa lakini ni kwa sababu hawakupata fursa ya kuona ushahidi.

Alisema ushahidi ulikuwa mzito sana. Nasikia kuna Jaji mmoja Mwanamke mwanzo wa kesi baada ya kuona ushahidi wa picha toka kwa Daktari aliyewafanyia uchunguzi Watoto wale aliamua kujitoa. Nafikiri kama Mwanamke aliumia sana na akaona pengine anaweza akatoa hukumu yake kwa kusukumwa na emotions
duh hii ngumu kumeza mkuu Kama mzee kipara analijua hilo itakula kwake baadaye
 
Nadhani tukubaliane na ukweli kwamba watuhumiwa walishindwa mahakamani na kuhukumiwa kwenda jena maisha ; pia tukubaliane kwamba rais ametumia kwa busara mamlaka aliyopewa na katiba kuwasamehe watuhumiwa. Hata hivyo ningefurahi katika jambo hili makaburi yafukuliwe ILI kuupata ukweli wa nini Exactly kilitokea hadi Babu Seya kutuhumiwa hadi kuwa convicted mahakamani hatimaye kwenda Jela maisha. Wadau naomba mfunguke
 
Uongo mtupu hawana kosa lolote hao hakuna asiyejua viking alikua anatoka na hawara ya mkwere eti familia nzima mpaka katoto cha under 18 kabake mxiiiiuuuu
 
Hao watoto waliobakwa, na hakika sasa hivi ni watu wazima.. Wanajitambua.... Ila kama walitumika, ipo siku yatabainika.... Na kama ni kweli pia, ni hatari!
 
Kama kuna ushahidi kwamba kweli walibaka watoto wa umri wa miaka sita na nane hilo halisahemeki, labda siku ya hukumu ya Mungu lakini sio ya hapa duniani. Yaani hao ni wa kuozea kwenye jela mpaka wafe. Japo nimesema kama kuna ushahidi, isije kuwa kulikua na kizungumkuti cha kuwaonea hao jamaa. Labda jamaa hawakufanya hicho kitu, iwe kuna mtu aliwacheza na kuwambambikizia, maana nategemea hadi rais afikie kuwapa msamaha lazima usalama wa taifa walichunguza kwa kina.

Kuna makosa ya kusamehe, hata wauaji husamehewa, lakini walawiti wa watoto wadogo, bora ufie jela.
Siasa mkuu! Siasa za Tanzania tuachie sisi, tuna uvumilivu!
 
Hao ni wabakaji kwa mujibu wa hukumu ya mahakama, kilichofanyika ni kuwasamehe, hivyo msamaha huwa haufuti kosa ulilotenda
 
Kutokana na kesi ilivyoenda na baadae rufaa ilivyosikilizwa, inaonyesha kweli hawa watu walitenda kosa, kwani hata Mabere Marandu ambaye ndiye aliyekuwa wakili wao alionyesha kwamba kesi iliamuliwa kwa halali kabisa.

Katiba ya Tanzania, inampa madaraka rais kumsamehe mtu yeyote aliyefanya kosa lolote lile, kwa jinsi busara zake zinavyomuelekeza, haya ni madaraka makubwa sana kumuachia mtu mmoja awe nayo, katika vipengele ambavyo ningependa siku moja kirekebishwa ni hiki, japo kianze na neno"kwa kushauriana, au kwa kuwadhirikisha.....".

Kwamba kuwasamehe wabaki ni mbaya zaidi kuliko mtu aliyeua mtu au watu kwa makusudi, hilo sikubaliani nalo, japo kubaka ni kubaya, lakini kukatisha uhai wa mtu ni jambo baya zaidi mtu unaweza kumtendea, kwa mfano ikitolewa option gerezani kwa wafungwa waliohukumiwa kifo wachague kati ya kunyongwa au wabakwe na kunajisiwa na kisha kuachiliwa huru, unahisi wengi watachagua lipi?, naomba kuwakilisha
 
Back
Top Bottom